Wrong character shows up when typing x key

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
Wakuu Wa JF nawaombeni msaada kuhusu keyboard yangu tangu nimeiweka OS Ubuntu Linux keyboard yangu herufi mbili hazifanyi kazi ya kwanza ni (X) nikibonyeza hefuri X inakuja Herufi Ñ na ingine (alama ya kuuliza) nikibonyeza Alama ya kuuliza inakuja herufi X je ndugu zangu wana Je nawaombeni mnisaidie ninatumia kwenye Computer yangu ya Desktop Windows mbili moja Windows XP na moja Ubuntu Linux Asanteni sana
 
it has nothng to do with softwares, try to clean the virus. when u have succeeded with it send me a [rvate msg what was the problem.
 
Kama kompyuta unayotumia ni desktop, na ina stand alone keyboard, jaribu ku-update drivers.

Pita njia hii System>Administration>Hardware Tools

Kompyuta yenyewe itafanya automatic serach na kukwambia kama kuna drivers zinahitaji kuwa installed. Kisha utafuata prompts mpaka mwisho.

Ikishindikana hiyo itabidi kuchunguza tatizo jingine..
 
Vipi kama mtu akiwa anatumia laptop

Wakuu asanteni kwa michango yenu nimeiseti wakati inapo funguka kwenye System kisha nikaenda kwenye Preferences kisha nikabadili kwenye Keyboard kutoka USA nikaweka kwenye Nchi ambayo nipo ninapoishi sipo hapo bongo mimi nipo nje ya nchi na nikairestart ina fanya kazi kama kawaida asanteni sana wote mliotowa mchango wenu
 
Back
Top Bottom