Writing on the wall for Kagame as key donors cut aid, huge government projects face delays

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
By JOINT REPORT The EastAfrican

Posted Saturday, August 4 2012 at 19:35

Rwanda may be forced to delay some projects that were to have been implemented this year following the recent decision by key donors to suspend aid to the country, as international pressure grows on the government to halt its alleged support for the ongoing rebellion in the Democratic Republic of Congo.

On July 29, Britain - normally one of the strongest supporters of President Paul Kagame - announced it had suspended £16 million ($25 million) in budgetary support.

This came in the wake of a $200,000 cut in US military aid to Rwanda and a £4 million ($6.25 million) cut from the Netherlands, aimed at improving the country's judicial sector.

Scandinavian countries on the board of the African Development Bank are also reported to have forced the postponement of a decision on the disbursement of $38.9 million in budget aid to Rwanda from last week until September.

Rwanda's total budget grants for 2012/2013 are projected at 10.2 per cent of GDP.

Germany has also suspended $26 million in contributions to Rwanda's budget planning from this year through 2015.

The pressure came as a group of UN experts who made the allegations in a damning report were visiting Rwanda.

Their report, leaked in June, accused Rwanda of helping to create, arm and support the M23 rebel movement in eastern Congo in violation of UN sanctions. Rwanda last week officially submitted a rebuttal dismissing the allegations.

Development plans

"We have to see how to re-strategise our development plans; some programmes may be delayed," John Rwangombwa, Rwanda's Finance Minister, told The EastAfrican.

Mr Rwangombwa said the move by donors is against the principles of aid effectiveness and undermines the principles of mutual accountability, predictability and respect between partners.

"We are taking it as temporary, because the decision was taken based on wrong information. But at the end of the day, they are undermining our achievements in poverty reduction," he said.

For fiscal year 2012/2013 total grants of Rwf484 billion ($785.9 million) have been projected against Rwf463.5 billion ($752 million) in 2011/2012. This projection shows an increase of Rwf20.5 billion ($33.2 million).

In 2012/2013, external financing of the budget will account for 48 per cent of government expenditure. But it is Britain's budget aid suspension that will be most keenly felt in Kigali as the UK government has, until recently, been such a staunch supporter of President Kagame.

Britain is Rwanda's largest bilateral donor, with a £75 million ($117 million) aid programme this year. Unusually, Rwanda benefits from "general budgetary support," whereby British money goes directly into the country's coffers, without being allocated for specific sectors like health or education. This year, £37 million ($57 million) was set aside for this purpose.

The UK's Department for International Development (DfId) says Britain's aid recipients must adhere to five strict "partnership principles" - respecting human rights and other international obligations, good governance, transparency, fighting corruption and domestic accountability.

"The Rwanda general budget support payment has been delayed while we consider whether these expectations are still being met," a DfId source was quoted as saying in the UK press this week.

In the financial year 2012-2013, UK general budget support for Rwanda is £37 million ($57 million), DfId added. Total budget support to Rwanda is £50.5 million (78.9 million), while total UK aid to the country is £75 million ($117 million).

"Donor governments are spending their taxpayers' aid money, and need to show that they are spending it wisely and in ways that promote development and are respectful of human rights. This accountability is crucial if public support for aid is to be maintained in donor countries, particularly in times of economic crisis," said Robin Ogilvy, a policy analyst at the Paris-based directorate of the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), in an e-mail to The EastAfrican.

However, Andrew Mitchell, the UK's International Development Secretary, announced a "delay" in sending a payment of £16 million ($25 million).

He stopped short of endorsing the UN's finding that President Kagame is fuelling Congo's rebellion, nor did he suspend British aid altogether.

Instead, Mr Mitchell urged Rwanda to "be clear publicly that Bosco Ntaganda, a key M23 figure, is an indicted war criminal who should not be allowed to remain at large as part of any solution to the current conflict."

Rwanda, he added, should help the rival parties in Congo to "resolve their differences" peacefully.

Human-rights groups had called on Britain to act against President Kagame.

"Pressure has been mounting for a while, and I think the UK, as the largest bilateral donor to Rwanda, was going to look odd if it continued to do nothing," Carina Tertsakian, from the Africa division at Human Rights Watch told The Telegraph newspaper.

"Even just on a symbolic level, it's a very significant decision because the UK - and Andrew Mitchell in particular - have been very reluctant to speak out on human rights in Rwanda. DfID have really resisted taking any public stance."

Rwanda's Foreign Minister Louise Mushikiwabo responded by expressing regret at "hasty decisions based on flimsy evidence" by the donors.

Rwanda has denied the charges of involvement in the DRC despite evidence from surrendered rebels who told UN officials that they were Rwandans who had been recruited and trained in Rwanda.

The UN report also said some Rwandan soldiers were fighting alongside the rebels against Congo's army.

By Berna Namata and Paul Redfern

Teh... Teh... Teh... Soon or later we will hear the secrets of Rwanda's Economy is not the Kagame's Vision

Is Donor's free donation hands... as soon as they are cut... there is no Kagame's intelligence...
 
Neo colonialism at its best, if you are not financially free, you are not free at all.
 
Teh... Teh... Teh... Soon or later we will hear the secrets of Rwanda's Economy is not the Kagame's Vision

Is Donor's free donation hands... as soon as they are cut... there is no Kagame's intelligence...

Nadharia moja wapo inayozungumzia chanzo cha vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Rwanda ni uhaba wa ardhi kulinganisha na idadi ya watu waliopo. Kwa nchi yenye watu wanaochukiana kutokana na kuchinjana jahara, ambao hawana ujuzi zaidi ya kilimo, kuindoa kwenye utegemezi wa misaada ya nje sio rahisi hata kidogo.

Watu wa Rwanda wamenukuliwa wakisema Kagame akifa leo hii, watu wanarudi tena kwenye kuchinjana, kwa hiyo kupatikana hata hiyo amani ya muda ya kuweza kutumia misaada kutoka nje kwa ufanisi sio jambo dogo.

Sisi wa kwetu hata hilo hawezi
 
Kwasababu hajatatua Tatizo la TUTSI against HUTU; nadhani kalizidisha na analizima kwa kuwakimbiza wapinzani nje

Halafu anawafuata huko na kuwaua kama akipata chance... ni DIKTETA...

Lakini kuna baadhi yetu wanampenda awe Rais wetu...
 
Ni bora kuwa na raisi dikteta anaejua anachokifanya (au anachotaka kukifanya) kuliko kuwa na a very useless, hopeless incompetent president ambae hajui chochote kuhusu uongozi wa nchi.
 
Ni bora kuwa na raisi dikteta anaejua anachokifanya (au anachotaka kukifanya) kuliko kuwa na a very useless, hopeless incompetent president ambae hajui chochote kuhusu uongozi wa nchi.

Kweli wewe Umechoka na AMANI... Haujui KESHO ataivamia FAMILIA YAKO na KUITEKETEZA na KUKUACHA WEWE TU

KUKUONYESHA kuwa USIPOFANYA KAZI na yeye pia Utaathirika... Usiombe hayo... furahia ndugu zako na hata

Umasikini ni bora kuliko kusengenywa...
 
Teh... Teh... Teh... Soon or later we will hear the secrets of Rwanda's Economy is not the Kagame's Vision

Is Donor's free donation hands... as soon as they are cut... there is no Kagame's intelligence...

si ataongeza juhudi ya kuchota mali za kongo?!
 
Ivi ni kweli Africa we can not move forward bila wazungu kweli?
Ila kama kweli unawasupport rebels mkuu apo nakushushia dislike
 
si ataongeza juhudi ya kuchota mali za kongo?!

Atazipeleka Wapi Dunia Nzima Imemgeuka? alivyokuwa na Majidai sababu Mapesa yalikuwa yanakwenda Rwanda

Kama Maji; Wakati USA wanatangaza Sanctions against Rwanda Bill Clinton alikuwa Rwanda, yaani aliposikia alikimbia

Karibia aache kandambili zake hotelini, sababu alikuwa anavaa african sandals na ilibindi his private jet iondoke haraka

First Stop Nairobi; Kumsubiri Mkewe... Kupata Ufafanuzi...
 
I like suspension for good of all foreign financial aids not only to Rwanda but to all African States because they had been too dependent on these aids for decades now without trying to stand on their own.Why on Earth a Country becomes dependent on another one forever? Keep it up honorable donors?
 
Kweli wewe Umechoka na AMANI... Haujui KESHO ataivamia FAMILIA YAKO na KUITEKETEZA na KUKUACHA WEWE TU

KUKUONYESHA kuwa USIPOFANYA KAZI na yeye pia Utaathirika... Usiombe hayo... furahia ndugu zako na hata

Umasikini ni bora kuliko kusengenywa...

Umeambiwa dikteta ni Mungu hadi awe anajua kila familia? Kwa taarifa yako Kigali mtu unatembea hata usiku wa manane na hukutani hata na kibaka. Haya, mnaambiwa mna amani hebu tembea manzese saa tatu usiku na kisimu chako cha mchina uone kilichomfanya kuku asikojoe!
 
Na inakuwaje wapinzani wake waliuwawa South Africa; na USA?

Kuna kesi USA inayomkabili one of his secret service... labda ndio maana wamuwekea sanctions...

Sababu huyu jamaa akianza kuongea... that's it... alilewa na Mapenzi ya Western Countries akadhani uchafu wake

Hautagundulike... COLD WAR is OVER Ukiwa Mchafu Wanakugeuka Haraka Haraka...
 
Wamarekani kwa unafiki sina mfano wanangu. Wao walipovamia Iraki ni halali. Kagame akiingia DRC kuiba kama wao kosa. Je ameamua kutogawana nao wanachochuma kule? Hivi Marekani wana uchungu na DRC kweli? Mbona walimuua Lumumba na kuweka madaraka mikononi mwa jambazi mobutu?
 
Ni bora kuwa na raisi dikteta anaejua anachokifanya (au anachotaka kukifanya) kuliko kuwa na a very useless, hopeless incompetent president ambae hajui chochote kuhusu uongozi wa nchi.

Naunga mkono hoja yako 100%! You are very intelligent kwa kuona mbali.
 
Kweli wewe Umechoka na AMANI... Haujui KESHO ataivamia FAMILIA YAKO na KUITEKETEZA na KUKUACHA WEWE TU

KUKUONYESHA kuwa USIPOFANYA KAZI na yeye pia Utaathirika... Usiombe hayo... furahia ndugu zako na hata

Umasikini ni bora kuliko kusengenywa...

We mbona mpuuzi, kuna amani gani Tanzania wakati viongozi wetu wanaiba rasilimali za nchi yetu na kujinufaisha wao na familia zao huku asilimia 99.9 ya watanzania wamechoka na maisha. Unatembea hapa nchini kweli kuona hali ya maisha ya mwananchi wa kawaida? Samahani lakini, Kikwete inabidi apinduliwe na wabunge wote watemwe la sivyo hii nchi watu watachinjana hadharani kwa sababu manyanyaso na wizi wa viongozi yamezidi. Ni kweli bora kutawaliwa na dikteta anayelinda maslahi ya nchi kuliko kuburuzwa buruzwa na kiongozi asiyejuwa anachokifanya.
 
Umeambiwa dikteta ni Mungu hadi awe anajua kila familia? Kwa taarifa yako Kigali mtu unatembea hata usiku wa manane na hukutani hata na kibaka. Haya, mnaambiwa mna amani hebu tembea manzese saa tatu usiku na kisimu chako cha mchina uone kilichomfanya kuku asikojoe!

Kwetu uswazi.....watu wanahama kwa mikokoteni kuanzia jioni mpaka usiku, uliza kama hilo linawezekana Kigali. Pili ikishafika saa mbili usiku kusafiri nje ya jiji la Kigali lazima uwe na roho ya mwendawazimu..!
 
Hahaha ati kuku asikujoe? Hahha. Tanzania washenzi these are my people but washenzi sana. I have a mixed feelings with kagame but still he is a great leader. Of course kama kongo hwajui kutumia resources hata mimi naiba. Also, i dnt wish any vita in rwanda and it will not happen again because people have seen all the colors and not willing to trade what they have already built with their own egocentric. Aii bila kusahau watoto wa Kike wa kitusi ni watamu sana aise. Mimi simrudii mtz ng'oo. Wanamaji, wanaktika, walaini halafu wa ukweli. Igtuba so yamiii
 
Kwetu uswazi.....watu wanahama kwa mikokoteni kuanzia jioni mpaka usiku, uliza kama hilo linawezekana Kigali. Pili ikishafika saa mbili usiku kusafiri nje ya jiji la Kigali lazima uwe na roho ya mwendawazimu..!

wacha urongo, nimetembea Kigali usiku mara kadhaa hamna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom