Wow! Finally Snow Leopard on my PC

Hii kitu ni nzuri sana, mkuu nitawezaje kupata hiyo DVD ya snow leopard? pia uliahidi ungeandaa pdf ya namna ya kufanya ikae kwenye pc, kweli wengi hatuna uwezo wa kununua hizo brand.
 
Kesho nitaweka PDF file ya jinsi nilivyofanya ikiwa na screen shots kama msaada kwa wengine ndo naiandaa

Nimeshaandaa PDF jinsi ya kuinstall OSX kwenye PC, nimeanza na ile hatua ya awali kwa wale wanaoanza, nasisitiza uwe na DVD ya Kalyway 10.5.1 kwa kuanzia kisha utaupdrage baadae.

Download PDF file down here:

Password to open pdf: kimokole
 

Attachments

  • OS X Leopard on a PC.pdf
    2 MB · Views: 52
Back
Top Bottom