Would you say it? (Ungesema?)

Mama uwe umevaa helmet mwili mzima na vitu vyako ulishahamisha siku nyingi .

hivi wewe umeshapata picha kwamba unaanzaje kumwelezea?.."sorry msukuma naomba nikuambie ki2 but nihaidi kwamba utanisamehe, jana cjui nn na nn"...nani anataka kisukari maisha haya?
 
Madada wengine bana.............khaaaa!

hommie mi apo kidogo mbavu zivunjike

Hivi labda kwa upande mwingine, how many times mtu angevumilia kuambiwa manake inaonekana hii kitu ni zaidi ya mara moja, mwoja asali haonji mara moja

ile ya samehe saba mara sabini inaaaply au kuna vya kusameheka na visivyosameheka?
 
Kama umechit na nafsi yako inakusuta sn kwa ulichokifanya..utamwambia tu mwenzio ili upate kuponya nafsi yako..hakuna kitu kibaya km nafsi kukosa amani.
Dah, nyimwa vyote, lakini wakuachie amani utaishi.Amani, Amani ya moyo.
 
Guys, am I the only sane person in this forum. I will just say " look mamii, what did the guy offer that you think you cant get it from me?" Af basi ntamwambie switii siku ingine nambie tu bana I want this way n I ll be there to serve you, tehe tehe
 
Nitasema,sina uwezo wa kuhifadhi sirii kwa muda mrefu hasa pale yule niliyemtenda visivyo hastahili kutendewa hivyo...God Forbid Please!!!
kwel utasema acha uzush kuhusu hili sijakukubalia kabisa mana sir ya mtu huijua mtu mwenyewe. Ila siwez kuhamin kuwa kama umefanya makosa umwambie mwenzio may mbaka akushukie hapo ndo nitakubali lakn hv hv umueleze awap
 
siwezi kusema na hata akihisi kitu na akaamua kuniuliza sitakubali, mwe kutubu baadhi ya dhambi unaweza kuwa ndo kuwa mwisho wa mahusiano
 
labda uwe umeshaichoka hiyo ndoa upo tayari kwa lolote, iendelee/ivunjike kwako poa tu, hakuna mwanaume anaeweza kustahimili kuckiliza yiyo hadithi, kwanza unaanzia wapi kumwelezea, kuliko hivyo bora umwage kabisa cku unayoenda ku cheat na umjulishe eneo la tukio, kama umefanya cri na iwe cri milele...
Wewe? umwambie then uachwe? bora unyamaze tu kama halijabumbuluka, maana walivo na roho nyepesi hukawii kuambulia mabao ya uso na talaka
 
Kaizer mie sitaki kuambiwa ..harafu nikiambiwa ili iweje ? wacha moyo uendelee kumsuta mwenyewe kwa madhambi yake na atubu kwa mungu wake.
aaaagh unaweza kupata BP zisizohitajika bure..

Mama watoto au baba watoto nina kajambo ka kukonfess ...
mtu unakuwa attention pls...
Jana nili do the nidiful na Maria /Athuman
Then what?
:hatari:
 
Guys, am I the only sane person in this forum. I will just say " look mamii, what did the guy offer that you think you cant get it from me?" Af basi ntamwambie switii siku ingine nambie tu bana I want this way n I ll be there to serve you, tehe tehe

acha mapenzi ya kisharobaro wewe......................
sometimes kutunza siri, ni kipimo cha utu uzima ulio nao!!!!!!!!
 
Orayt....kwa muktadha wa kuzitunza ndoa zetu na kukilinda chama chetu....

HAKUNA KUSEMA.........hata kwa padre!

Kumbe hata kuungama hakuna?

Bwana haya mambo yanauma, yani yanauma sana, na kama huna hiyo roho ya kuchiti hata siku ukichiti
bahati mbaya, utatamani kwenda kumwomba huyo mke wa mtu msamaha.

Sasa sijui ukienda kuomba msamaha utakutana na nini huko.

Dah...............Kingoooooooooooooooooooooo...................
 
siwezi kusema na hata akihisi kitu na akaamua kuniuliza sitakubali, mwe kutubu baadhi ya dhambi unaweza kuwa ndo kuwa mwisho wa mahusiano

mwe.....hapo tu ndo pamenifanya nicheke!
kama yuda alivyomkana yesu lol......
 
Kama umechit na nafsi yako inakusuta sn kwa ulichokifanya..utamwambia tu mwenzio ili upate kuponya nafsi yako..hakuna kitu kibaya km nafsi kukosa amani.
Yeah....! Na kwa kufanya hivyo utamuwezesha yeye ajue namna ya kukuhandle....! Lakini pia kama utapata msamaha itakuwa ni ya kweli, kuliko ungenyamazia hadi anagundua mwenyewe....! Binafsi ni rahisi sana kumsamehe anayejisalimisha kuliko ninayemfukuza hadi namkata kwa juhudi zangu....! Vilevile kwa kusema, utamfanya naye ajisute na aliyowahi kutenda juu yako kama kukucheat.....! Hata hivyo kisaikologia, kusema siri zote ni kama kudelete file/folder la "siri" ubongoni mwako....! So, you will not have any place to save other secrets in the future, and thus you will find yourself being very careful....! Lakini unapotunza siri humaanisha lile folder litaendelea kuwepo, na hivyo unakuwa rahisi kutenda nyingine kwa kuwa una folder la kuhifadhia...! Please, if you can expose everything to your partner, go and do it....! Hata asipokusamehe, wewe mwenyewe utakuwa umekwisha samehewa na Mungu wako (provided ulimwambia ukimaanisha kuomba msamaha haswa, na sio kwa kumpima au kumkejeli), naye atakuja tu kujutia kutokukusamehe baadaye....! What I am saying is already proved....!
 
Wewe, wewe,Unamaanisha unayosema au umeandika tu
.

sitamwambia na yeye asiniambie, hata ikitokea anahisi tu akiniuliza nitakataa, labda anibambe na kukiwa na uwezekano wa kukataa nitakataa vile vile.
 
mie nigeuchubua,.....ila ningebaki nayo hivyohivyo kuhakikisha mwenzangu hapati PAIN even though it means i will stay with it for the rest of my life....huu ndio upendo lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom