Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
- Thread starter
- #21
Wanawake na wanaume wote tu binadamu lakini tunatofautiana sana kifikra na kimtazamo hapo ndo tatizo linapoanza! Wanaume wako so phyisical na wanatumia akili zaidi while wanawake wako so emotional na wanatumia hisia zaidi. Wanaume hua wanaanza kufikiri kwanza then ndo wanahisi na wakati wanawake ni virceversa! Women &men hatuwezi kua sawa what is needed ni jinsi ya kuelewana na kuchukuliana madhaifu yetu bila ugomvi..
Hivi unadhani ni kwanini hatuelewani pamoja na kutambua hiyo tofauti?