Wote tunashuka

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Kuna baadhi ya watu ambao wanatabia za chura inabidi niwaongelee hapa ili kama ni wewe urekebishe tabia yako. Utakuta mmepanda gari(busi la abiria) alafu basi lenyewe limejaa tele hadi wengine wamesimama hadi mlangoni....gari linapofika kituoni kwa mfano posta ambapo tunatakiwa wote tushuke, utakuta mtu amekaa kiti cha nyuma au katikati anakurupuka anataka kushuka wakati kuna watu wamesima hata hawajaanza kushuka wewe unaomba njia unataka kushuka wakati wote tumefika kituo cha mwisho na tunashuka wote.huu sio ustaarabu jirekebishe kama ulikuwa na haraka sana ungelala posta.
 
Nimeipenda sana hii mkuu..inakera kweli maana nyie wengine sasa mnaonekana wajinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom