Wote hawa ni maarufu-mke na mume

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Kulia/kuume ni kaimu mkuu wa wilaya ya Dodoma Betty Mkwasa amkimtambulisha kocha mkuu wa Twiga Stars Charles Boniface Mkwasa ambaye ni mumewe....inapenedeza sana aisee...na I-like myself, ongezekeni basi...!! DSC_0021.JPG
 
Siku mke wangu atakapokuwa mwanasiasa ndipo nitakapolazimika kukiuka agizo la kwenye biblia, ntamtwanga twalaka bila ya majadiliano....
 
Mch. Kwani atakuwa amefanya dhambi gani hadi kustahili talaka? ninavyojua mimi bibilia imeruhusu talaka kwa kosa la zinaa peke yake...unaweza kunirekebisha!!
 
kwa hiyo kwa wanaume ni sawa kuwa wanasiasa na si wanawake??
 
Mch. Kwani atakuwa amefanya dhambi gani hadi kustahili talaka? ninavyojua mimi bibilia imeruhusu talaka kwa kosa la zinaa peke yake...unaweza kunirekebisha!!
huenda ana uhakika wote hao wanafanya zinaa nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom