Wote alioshiriki na kusababisha vurugu za mbagala kukiona.

nimekugingea like....siku zote nasisitiza pia tunajivunia aman tanzania kwa sababu tu....wakristo ni wastaarabu!!!!

ukristo hufundisha imani na amani ya kweli, ndiyo maana WAKRISTO husamehe hata mara 70, bali wale waliokaririshwa mafundisho kutoka SATANIC Verses hutafuta nani nani wamuudhi ili achukie waweze kumdhuru.
 
Vipi kuhusu "Yesu si Mungu" ya Morogoro ilivyokwenda. Tukumbushie huyo pia Yule jamaa alivyoachiwa kiaina. Haikuwa kosa, kukojoa kwenye kitabu in issue ya kitaifa!
 
Wana JF, tuko latika kipindi kigumu cha kutafakari juu ya mustakabari wa usalama wa raia wetu katika kipindi hiki kigumu ambapo kikundi kidogo ndani ya dhehebu moja kimeamua kuyashambulia madhehebu mengine. Kutokana na hali isiyo elezeka hakuna yeyote aliyetoa ufafanuzi juu ya chanzo cha vurugu za TUNDURU, nadhani hii ni makusudi.

Hata hivyo, chanzo cha vurugu za mbagala kikowazi japo wanaopenda vurugu akiwemo mzazi(baba) wa mtoto aliyekuwa na kitabu wanapindisha ukweli ulu kuhalalisha ufedhuri wao. Baadhi ya mambo muhimu ya kuelewa katika sakata hili ni kuwa:
Mtoto aliyekuwa na kitabu cha Quran( ni juzuu) hakunyanganywa bali alkitoa kwa hiari yake kwa vitisho kuwa mtu akikichezea kitabu hiki atakuwa chizi.

Kutokana na ukweli huu, na kwakuwa ama kama dhamira yetu ni kumaliza na kukomesha tabia hii, basi mtoto aliyeMTHUBUTISHA mwenzie naye ashitakiwe katika mahakama ya Kadhi na akikutwa na hatia ya kukichezea kitabu kitakatifu apewe adhabu kali ili kukomesha uchokozi huu, ninaimani hii itakuwa ni kesi ya kwanza ya KADHI wa Tanzania. Ciao.
 
Katika yote, pamoja na hasara iliyotokea na mengineyo, waislam watambue kuwa kama Wakristo tumewasamehe na tunajisikia kuwa na nguvu kuwaombea Jehovah Mungu tunaemwabudu Wakristo awasamehe na kuwafungua fahamu zao na kuijua kweli itakayowaweka huru.
Hatuna na hatutataka kisasi, kwani kisasi ni kwa Bwana.

mimi kama muislamu nasema AMEN
 
Back
Top Bottom