Wosia wa Mwl. Nyerere - Mimi ninang'atuka na siasa ya Tanzania

Hakuondoka kwa hiyari "aling'atuka", tafadhali usichanganye kustaafu na kung'atuka.
Bibie,
Soma tena nilichoandika. Usikurupuke. Hata kama hakuondoka kwa hiari, alifanya mipango ya kiungwana kuhakikisha mwingine anapasiwa kijiti cha uongozi kwa utulivu. Hilo ni jambo la kusifiwa si kubezwa. Kipi hapo usichoelewa? Na kuuma katika Kizanaki siyo kung'ata. Ni "kuruma." Achana kabisa na ung'ataji wako haihusiani kabisa na ung'atukaji. Msilazimishe mnachopenda kukiona hata kama ushahidi unawasuta.
 
Katika kipindi chake tulikuwa na umeme Dar kama kawa sasa hivi hapo mchafukoge giza totoro ndo kawaida. watu walisoma bure kwasababu kodi zao zilitumika ipasavyo leo hii kuendesha mashangini ndo sifa. Sasa hivi nchi inauzawa kwa republicans wewe unaona poa tuu.Deni la ndani na la nje linaongezeaka huoni tatizo, eti nchi kukopa kwenye benki za ndani kulipa mishahara wewe unaona ni maendeleo. Huu ujinga haukuwepo wakati wa nyerere.
Siyo umeme tu. Tulikuwa na ndege zaidi ya 8 za Air Tanzania. Tulikuwa na mashirika ya umma yaliyoajiri Watanzania. Tulikuwa na benki zetu wenyewe. Madini yalikuwa hayajaguswa kwa matumaini kuwa watakayoyafaidi ni Watanzania wenyewe, kwa kifupi nchi ilikuwa na matumaini. Wakaja hawa mafisadi, wakiongozwa na Mkapa na Kikwete na sasa tunavuna matokeo ya ufisadi wao. Wanatuambia hatuwezi kutoa elimu bure wakati wao wanajilipa posho za milioni nne. Hospitali zetu hoi.
 
Unashindwa kuelewa kuwa wakazi wa Dar wameongezeka sana toka Nyerere alipong'atuka. Halafu Nyerere aliiacha hii nchi ina megawati ngapi za umeme na asilimia ngapi ya Watanzania walikuwa wanapata umeme? Nyerere umeme wa Dar aliukuta, alipokuja kuhamia Dar na kukaribishwa nyumbani kwa kina Sykes alikuta kuna umeme upo Dar.
Kama sababu ya kuwa na umeme Dar ni yeye kuukuta kipindi cha akina mzee Syke kwanini hakukuwa na magao miaka ya '80 hasa baada ya yeye kuwepo magogoni kwa miaka zaidi ya ishirini? Kumbuka idadi ya watu Dar kwa kipindi hicho iliongezeka maradufu kutoka takriban 130k (1961) mpaka zaidi ya 600k (1985).

Unashindwa kuelewa kuwa ongezeko la watu inamaanisha kuwa ukusanyaji wa kodi unatakiwa kuwa mkubwa na pia wasomi sasa hivi ni wengi kukuliko kipindi chake. Hii inamaanisha kuwa rasilimali tulizonazo kwa sasa ni kubwa kuliko kipindi kile. FF hii inahitaji simple arithmetics tuu kuelewa kuwa mambo sasa si mazuri, we angalia tuu na madini yote aliyoyaacha bado nchi iko hio. Wakati wake nchi ilikuwa na gold reserve sasa hivi hamna kitu ni fiat money tuu tuliyonayo japokuwa dhahabu inachimbwa kila siku, sasa utaniambiaje leo mamabo ni mazuri?
 
Mambo si mazuri wakati ule wala si mazuri sasa..ngoma droo, kilichobadiliki ni wakati na watu
 
Hakuondoka kwa hiyari "aling'atuka", tafadhali usichanganye kustaafu na kung'atuka.

Nimefurahi kuona sasa unajaribu kulitumia neno kung'atuka kwa maana yake sahihi kuliko kule ulikotaka kulitumbukiza mwanzo shukran kwa hilo.

Baada ya hayo niwashukuru wote wanaoendelea kutathmini maneno ya Mwl kwa njia moja au nyingine kwa matumaini kua yanaweza kusaidia mustaqbali wa taifa letu.

Wengi wanadhani kua uongozi ni starehe na wanashindwa kutambua kua uongozi ni majukumu. Kama tukifahamu kua uongozi na majukumu na cheo ni dhamana tunaweza kupiga hatua.
 
Hakuna lugha duniani inayokuwa bila kuongezea maneno apya yanayotokana na misemo na matamshi ya lugha zingine. Kiswahili kimejumuisha maneno mengi sana kutoka lugha tofauti duniani na nchini kwa wingi wake au kwa uchache wake. Usishangae kuona Wazanaki wana maneno au matamshi yaliyoingia katika kiswahili na usishangae ukakuta maneno au matamshi ya lugha zingine yapo kwenye Kizanaki. Funguka.

Nasikia wahaya wanaongoza kwa kuingiza maneno au matamshi ya Kiingereza kwenye lugha zao mpaka sasa yamekuwa ni kihaya, sina uhakika kama ni "joke" tu kwa Wahaya au ni ukweli, nimesikia tu siku hizi Kagera watu wanaongea sana Hanglish. Kama vile masharobaro wa Dar wanavyoongea Swanglish.

Hilo nililokuwekea nyekundu, hapana, si hivyo bali kuna watu wana uelewa mpana sana na wanayajuwa mengi kuliko wengine. Hizo ni rehma zake Mwenyeezi Mungu.

Hilo la kung'at sina haukika nalo,isipokwa ni wazi kabisa kuwa kung'atuka ni kulazimika kuondoka...Binafsi nadhani kunga'tuka inaendana zaidi na kung'oka.
Pia ni wazi kwasababu hakutaka kula matapishi yake kwa kuiingiza nchi kwenye mfumo wa kibepari,and so therefore ilibidi aondoke.
 
mimi nashangaa hawa wanaohangaika na kile kibabu. nchi ilimshinda karibu kila nyanja, afya, elimu, etc. kaliweza kudhibiti rushwa tu na kulinda rasilimali zetu. The rest was zero.
Ukisikia masaburi ni wewe, huna akili tena unatumia hayohayo masaburi ya kichina kufikiria. Kama Mwl.aliwezakudhibiti rushwa na kulinda maliasili za taifa hili ulitaka nini tena? Nani kwa sasa ndani ya ccm anatekeleza hayo? Rushwa na wizi wa mali ya umma si ndo vimetufikisha hapa kwa umaskini?? Natamani nikuzabe kibao!! Think beyond your nose, kenge jike wewe.
 
Kwa hio kwa sasa CCM inabidi isome mazingira na kung'atuka kwa definition ya 'kiswahili' na ya 'kizanaki' pia.
Namna zote mbili ninafit hapa kama wanaangalia upepo.
 
Ukisikia masaburi ni wewe, huna akili tena unatumia hayohayo masaburi ya kichina kufikiria. Kama Mwl.aliwezakudhibiti rushwa na kulinda maliasili za taifa hili ulitaka nini tena? Nani kwa sasa ndani ya ccm anatekeleza hayo? Rushwa na wizi wa mali ya umma si ndo vimetufikisha hapa kwa umaskini?? Natamani nikuzabe kibao!! Think beyond your nose, kenge jike wewe.
Jambo kubwa kuliko yote, alikuwa 'leader'
tofauti na hawa wenzangu na mie wanaokalia kiti wanashindwa kupata heshima, yani wanashindwa kabisa kujitoa na na kupokea jukumu la kutumikia.

Imagine, pamoja na kukuta watu wasijua kusoma wazee na watoto, aliweza kuifanya tanzania kuongoza katika literacy, africa.
Aliweza kufanya afya ipatikane kwa watu WOTE.
hivi ni vituviwili ni vya msingi sana.
Maendeleo ya watu ya ukweli ni pale tu tutakapokuwa na uwezo wa kuchambua mambo, kuyaelewa, sasa viongozi wetu wanashusha elimu kwa umma na kukuza kwa wachache, hakuna tofauti na wakoloni.
 
kama nchi ilimshinda aliwezaje kudhibiti mali zenu na rushwa? Mlitibiwa bure na mlisoma bure. Wewe unafahamu ulichochangia kweli, au unafuata mkumbo? Nyerere was the great leader ambae msimtegemee kumpata kirahisi hapa tz nakuhakikishia. Huko mnapomjadili vibaya mnapotoka mbaya. Dhambi ya chuki kwa mtu inocent itawamaliza.

Wewe ushawahi kuambiwa Nyerere aliwachiwa hazina ya kiasi gani alipoipokea hii nchi kutoka kwa Muingereza? Au unajuwa aliahidiwa "support" ya miaka mingapi ki fedha na Waingereza?

Jee unajuwa kuwa wakati Nyerere anakabidhiwa nchi tulikuwa ndio wasafirishaji wa kwanza wa mazao ya kilimo katika Afrika? Yeye alipong'atuka katuacha hohehahe badala ya kuwa na akiba tukawa hatuna senti mbovu, badala ya kuwa wauzaji wa mazao tukawa wanunuzi, badala ya kuwa matajiri tukawa masikini.
 
'Mimi ninangatuka lakin bila CCM madhubuti nchi itayumba' Maneno makin sana ambayo mpaka sasa ninadhani kua wengi hawajaweza kuyatatmini.

Kuna njia nyingi za kutathmini mambo wakati mwengine unatathmini jambo bila kuangalia ylu aliyefanya amefanya vipi, kwa mfano, inawezekana Mwl hakufanikiwa kama alivyopenda lakin alijua kosa lilikua wapi kwahiyo akapenda kuwapa watu faida.

Inawezekana CCM ilikua dhaifu kipindi fulani ktk wakati wake. La muhimu unaweza kutathmini kitu kwa kutumia vigezo vyovyote saa nyingine hata wakati, idadi ya watu na mengineyo.

Kung'atuka kwa Mwl ni somo kubwa kwa kizazi kilichobaki ktk pande zote kisiasa, kiuchumi na kijamii. Vipi somo hilo tunaweza kufaidika nalo pengine hilo ndio swali la kujiuliza. It doesn't matter kama yeye alifanikwa au alifeli. I tend to believe that he did his best but may be at the wrong time wrong place. Adopting socialism as political mode may lead to his kung'atuka who knows.
 
Ukitaka kujuwa maana ya kung'atuka ni rahisi sana, kwanza ujuwe "kung'ata" kama umesha juwa kung'ata ni nini basi ujuwe Nyerere alitung'ata na baada ya kuona hii mijitu hata unapoing'ata yenyewe bado tu ipo "ndiyo baaaba" akachoka kung'ata, unaing'ata mijitu kwa miaka zaidi ya ishirini yenyewe ipo tu, inakenuwa meno kama vile hawana hisia za kung'atwa, baada ya taya kumuuma aka "ng'atuka". Alikuwa hana jipya jingine taabani kwa kun'gata.

Kung'ata = Kuuma kwa kutumia meno.
Kung'atuka = Kuwachia kuuma kwa kutumia meno.
Faiza,
Neno la Kizanaki hilo. Wewe Mzaramo/Mmanyema wa Kariakoo wapi na wapi?
 
Bibie,
Soma tena nilichoandika. Usikurupuke. Hata kama hakuondoka kwa hiari, alifanya mipango ya kiungwana kuhakikisha mwingine anapasiwa kijiti cha uongozi kwa utulivu. Hilo ni jambo la kusifiwa si kubezwa. Kipi hapo usichoelewa? Na kuuma katika Kizanaki siyo kung'ata. Ni "kuruma." Achana kabisa na ung'ataji wako haihusiani kabisa na ung'atukaji. Msilazimishe mnachopenda kukiona hata kama ushahidi unawasuta.
Jasusi,
Faiza kwa Mwalimu kila kitu atakibadili na atakisimamia kwelikweli. Ipo siku atakwambia Mwalimu alikuwa mwanamke na atalisimamia hilo hadi mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nimefurahi kuona sasa unajaribu kulitumia neno kung'atuka kwa maana yake sahihi kuliko kule ulikotaka kulitumbukiza mwanzo shukran kwa hilo.

Baada ya hayo niwashukuru wote wanaoendelea kutathmini maneno ya Mwl kwa njia moja au nyingine kwa matumaini kua yanaweza kusaidia mustaqbali wa taifa letu.

Wengi wanadhani kua uongozi ni starehe na wanashindwa kutambua kua uongozi ni majukumu. Kama tukifahamu kua uongozi na majukumu na cheo ni dhamana tunaweza kupiga hatua.

Huko mwanzo nilipotaka kuwatumbukiza ni wapi? Nimewapa kwanza asili ya neno ng'atuka kuwa linatokana na neno ng'ata ni kipi msichoweza kukielewa hapo? Huyo asiyejuwa msamiati wa kizanaki, atuelezee kuwa kukaa juu ya kiti neno lake ni lipi? Bado mu wadogo kujuwa ni vipi lugha zinahusiana na maneno huwa yanasafiri vipi kutoka lugha mpaka lugha, kabila mpaka kabila.

Nnauhakika wengi wameelewa na wale ambao hawajaelewa itakuwa imewakaa hii vichwani na kuna siku watamkumbuka FF.

Kwa kifupi, Nyerere aling'atuka na hakuondoka kwa kupenda, na sababu si kuwa alikuwa hataki kuona nchi inaingizwa kwenye ubepari kama anavyofikiri mmoja wetu hapo juu, la hasha, angekuwa na uelewa mpana angefahamu kuwa ujamaa huishia kwenye ubepari, ujamaa ni njia tu ya kupita.

Nyerere aling'atuka kwa kuwa nchi ilimshinda na kazi ya kubwa ya kanisa katoliki aliisha ifanya, unafikiri anataka kupewa utakatifu kwanini? Kwa kulitumikia kanisa.
 
Bibie,
Soma tena nilichoandika. Usikurupuke. Hata kama hakuondoka kwa hiari, alifanya mipango ya kiungwana kuhakikisha mwingine anapasiwa kijiti cha uongozi kwa utulivu. Hilo ni jambo la kusifiwa si kubezwa. Kipi hapo usichoelewa? Na kuuma katika Kizanaki siyo kung'ata. Ni "kuruma." Achana kabisa na ung'ataji wako haihusiani kabisa na ung'atukaji. Msilazimishe mnachopenda kukiona hata kama ushahidi unawasuta.

Hata kiswahili kuuma ni kuuma na kung'ata ni kung'ata na hao wazanaki hilo neno ng'atuka walilitoa katika asili ya neno ng'ata, wewe eti sijui wazee ondoka juu ya kiti, kwani kukaa juu ya kiti. Si juu ya kiti tu, Wazanaki hata mwanamke akioa mwanamke mwenzake akiondoka bila ya hiyari huwa ameng'atuka na hata, hiyo maana yake ni asikae kang'ang!ania tu, yeye hayawezi bado anang'ang'ania tu. Kumbuka anaeng'ang,ania huwa kang'ata, ngangari.
 
Jasusi,
Faiza kwa Mwalimu kila kitu atakibadili na atakisimamia kwelikweli. Ipo siku atakwambia Mwalimu alikuwa mwanamke na atalisimamia hilo hadi mwisho.

Sibadili hata kidogo ntasema kweli daima uongo kwangu ni mwiko. Nyerere ni kweli alikuwa Mwalim, Nyerere ni kweli alikuwa Waziri Mkuu wa Kwanza, Nyerere ni kweli alikuwa Rais wa Kwanza, Nyerere ni kweli alipokabidhiwa hii nchi ilikuwa ni kati ya ma"exporters" wakubwa wa mazao kupeleka nje na ni kweli alipong'atuka katuwacha waagizaji tena hohehahe, lipi ambalo si kweli au nimeligeuza hapo?
 
Umesahau moja tu. HAKUTUIBIA. Huku ku-export mjadala wake mpana kidogo. Unakumbuka katani ilivyouawa wakati ule? Kwa nini bado sisi ni hohehahe zaidi ya robo karne tangu ang'atuke?
 
Umesahau moja tu. HAKUTUIBIA. Huku ku-export mjadala wake mpana kidogo. Unakumbuka katani ilivyouawa wakati ule? Kwa nini bado sisi ni hohehahe zaidi ya robo karne tangu ang'atuke?

Huwezi kabisa kufananisha leo na wakati wake, khaaa, leo una kila unachokitaka Tanzania, wakati wake subuuutu. Hakukuibia? labda lakini wizi na "corruption" vimeanzia wakati wake/
 
Huwezi kabisa kufananisha leo na wakati wake, khaaa, leo una kila unachokitaka Tanzania, wakati wake subuuutu. Hakukuibia? labda lakini wizi na "corruption" vimeanzia wakati wake/
Wakati wa Mwalimu tulivaa vitenge na khanga za MWATEX, URAFIKI, MUTEX, KILITEX,...., Tukalimia majembe ya UFI, tukazalisha karatasi kule Mufindi, tukazalisha mashine na vipuri vingi tu kule Mang'ula, tukasindika ngozi na kuvaa viatu vya Bora,......
Tukasoma bure hadi ChuoKikuu,..
 
Vitenge na khanga ukivaa kabla ya kuvifuwa vinawasha mwilini kama upupu si ndio watu wakaanza kuingiza vitenge vya Zaire na khanga za Mombasa ki magendo au umesahau?

Kwani hivyo viwanda si ndiyo katika mali alizotaifisha na zingine akiba ya ukoloni akaziwekeza vibaya bila mpango, viwanda vikafa kabla ya yeye kufa, au umesahau?
 
Back
Top Bottom