Wosia wa MALCOLM X

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kinda weird nilipokuwa nasoma high school mzee anipa Autobiography yake niisome eventually jamaa wakaanza kunipachija jina

I think i was kinda rebellious in my own way...na kuwa na urafiki na RAS T aka KAKA nako hakukusaidia sana kwani alikuwa na jitabu mooja neneee linaitwa FIRST MAN BLACK MAN!

anyway...si vibaya kupata hii:

malcolmX.jpg

I miss those days ambazo mtu ulikuwa unaingia JF kila one hour maana kulikuwa na so much intellectually stimulating discussions.

siku hizi ....ohh well you know the drill.
 
Umegundua viongozi wetu sikuhizi ni bunch of uncle toms?

I MEAN THAT INCLUDES THE SO CALLED BABA WA TAIFA...NDIO IVE SAID JKN
 
GT thibitisha hayo madai yako kuhusu Mwalimu. Kumbuke Malcolm X alisema kuwa kuna House Negroes na Field Negroes. Ni heri uwe Field Negro!
 
Mwalikuwa alikuwa ni House Negro..you know when ma saa is sick then he was sicker than him

evidence ni wakati wa Kuunganisha Africa..tazama msimamo wake Mwalimu ulikuwa upi na akina Nkurumah ulikuwa upi...na asingekuwa uncle tom asingeishi miaka yote ile coz slave master asingemwacha

On a flipside yeye alikuwa na muaccuse Kenyatta kwa uncle tomish attitude ilihali secretary wake alikuwa ni Mzungu!
 
Kinda weird nilipokuwa nasoma high school mzee anipa Autobiography yake niisome eventually jamaa wakaanza kunipachija jina

I think i was kinda rebellious in my own way...na kuwa na urafiki na RAS T aka KAKA nako hakukusaidia sana kwani alikuwa na jitabu mooja neneee linaitwa FIRST MAN BLACK MAN!

anyway...si vibaya kupata hii:

malcolmX.jpg

I miss those days ambazo mtu ulikuwa unaingia JF kila one hour maana kulikuwa na so much intellectually stimulating discussions.

siku hizi ....ohh well you know the drill.

ha ha ha ha! kama kunamtu aliyebadirika wewe pia ni mmoja wao. Kuna thread mtu aliuliza kama kuna mtu ameiba password yako na kwa jinsi ulivyopiga u turn( majungu, Udini uriokithiri na Yes! kuwasifia amfisadi). Ni rahisi sana kuangalia ya wenzio kuliko ya kwako
 
Can you prove that JKN was an Uncle Tom? Malcolm before he was assasinated was here in Tanzania and met and talked to Mwalimu on a whole lot of issues, especially the liberation of Africans in Africa which coincided with the "liberation" struggle for equal rights of African Americans. (Ulizia MAELEZO for more details)

"......evidence ni wakati wa Kuunganisha Africa..tazama msimamo wake Mwalimu ulikuwa upi na akina Nkurumah ulikuwa upi...na asingekuwa uncle tom asingeishi miaka yote ile coz slave master asingemwacha"

What crap is this? Msimamo wake na Nkurumah was a matter of opinion between two great leaders and I don't know how you can say his views then were that of an Uncle Tom.
 
Kinda weird nilipokuwa nasoma high school mzee anipa Autobiography yake niisome eventually jamaa wakaanza kunipachija jina

I think i was kinda rebellious in my own way...na kuwa na urafiki na RAS T aka KAKA nako hakukusaidia sana kwani alikuwa na jitabu mooja neneee linaitwa FIRST MAN BLACK MAN!

anyway...si vibaya kupata hii:

malcolmX.jpg

I miss those days ambazo mtu ulikuwa unaingia JF kila one hour maana kulikuwa na so much intellectually stimulating discussions.

siku hizi ....ohh well you know the drill.
Be part of the change you want to see in the world...work on returning those beautiful days where discussions where more of intellectual minds
 
GT,

Kuhusu Nyerere,

Kwenye issue ya TZ kupeleka silaha Eastern Congo, kuna watu wanaomba Nyerere afufuke ili asolve issues.

Mi nawaambia mnaomba Nyerere aje ku solve issues wakati Nyerere ndiye muanzilishi wa michezo yote, as far back as 1965 alikuwa anapeleka cargo eastern Congo, halafu leo mnashangaa vijana wanafanya foul mnaomba Nyerere afufuke.
 
Tabia nyingine ya mihouse negroes kama GT - ni kujifanya kuwa inawajua house negroes wengine ambako wako kwenye field (kupeleka dawa ya pamba?).
 
I am for violence if non-violence means we continue postponing a solution to the American black man's problem just to avoid violence.
MalcomX
 
GT,

Kuhusu Nyerere,

Kwenye issue ya TZ kupeleka silaha Eastern Congo, kuna watu wanaomba Nyerere afufuke ili asolve issues.

Mi nawaambia mnaomba Nyerere aje ku solve issues wakati Nyerere ndiye muanzilishi wa michezo yote, as far back as 1965 alikuwa anapeleka cargo eastern Congo, halafu leo mnashangaa vijana wanafanya foul mnaomba Nyerere afufuke.

Mkuu toa evidence. Unajua Che Guevara alipofika Upanga, Dar en route Congo miaka hiyo hata Nyerere hakujua? Alafu usilinganishe muktadha wa wakati ule wa Cold War na wa wakati huu. Wakati ule walikuwa wamemua Lumumba na Mabeberu walikuwa wameweka Vibaraka wao Congo. Na Tanzania ya Nyerere ilikuwa mstari wa mbele katika Ukombozi wa Bara la Afrika. Ndio maana Kabila alikuwa anavinjari tu Kigoma bila kubughudhiwa na Serikali ya Nyerere mpaka Che akamkatia tamaa laifisti huyo hivyo akajiendea zake Bolivia kuendeleza Revolution La Hasta Victoria Siempre!
 
Acha mambo ya ushabiki blazakaka,

Tanzania na Cuba? Che aingie bila Nyerere kujua? Umekisoma "Che Guevara: A Revolutionary Life " lakini?
 
Nimesoma diary za Che mwenyewe, ngoja nikutafutie dondoo...
 
Of course katika diary yake hataweza kumu implicate rafiki yake Nyerere, wee vipi?

Kesi ya nyani unampelekea ngedere?

Tafuta neutral na objective, peer reviewed works. Hiyo diary hata mimi ninayo ila sijataka kuitumia kama source kwa sababu mwamba ngoma huvutia kwake.Hiyo biography niliyoitoa ndiyo the most authoritative work on Che.
 
Na hao neutral, objective peer reviewers wako neutral na objective kiasi gani?
 
Back
Top Bottom