Neema...siku zote ukijua tabia ya mnyama hawezi kukudhuru....ni ule kutokuelewa ndio maana unasikia mtu ameng'atwa na nyoka....nakuhakikishia....nyoka hayupo kama unavyomfikiria....
Nimekapenda kwa kweli ..
Rangi yake inavutia sana ..
Beautiful......snake......
Ni nzuri sana masha'allah!
Ila kinacho nishangaza ni kuona mzungu atoke kwao, aje aone nyoka alafu aseme ameidiscover yeye... hivi sisi hatukujua kua tuna nyoka kama huyo wakati tumeishi nayo miaka na milele? tushtuke jamani! huyo nyoka angeweza kuitwa Matwi au Mwali...
hata mimi nimejiuliza hilo , vilevile wataalam wa zoology udsm wanafanya nini...!
Ni nzuri sana masha'allah!
Ila kinacho nishangaza ni kuona mzungu atoke kwao, aje aone nyoka alafu aseme ameidiscover yeye... hivi sisi hatukujua kua tuna nyoka kama huyo wakati tumeishi nayo miaka na milele? tushtuke jamani! huyo nyoka angeweza kuitwa Matwi au Mwali...
Aghhhhhhhh!!! jani kuna beautful snake? ninavyowachukia hawa viumbe sitamani hata kuona picha zao. nyoka ni nyoka tu wote wabaya kwa sura na tabiaBeautiful......snake......
Frankly,nimependa rangi yake.
OTIS
Sijabisha, wamediscover wenyewe. NIlicho taka kusisitiza ni kwamba tungefanya hizo juhudi za documentation labda hiyo nyoka ingeitwa Mwali...Dont start letting me down mwali, you can do and be better than that.
Well you know kwamba seeing na ku discover are distinguishable.
Ukiona bila ya kufanya documentation, au reporting unawezaji kuwa mvumbuzi?
Pamoja na yote, tulitegemea aseme watanzania wamegundua?
Wakuu, nchi ya Tanzania ni kubwa sana na ina maliasili nyingi mno... Hata tufanyeje hatuwezi kufanya hizo documentary film. Hizi vitu vinahitaji pesa nyingi na muda mrefu wa kuyafanyia utafiti...Sijabisha, wamediscover wenyewe. NIlicho taka kusisitiza ni kwamba tungefanya hizo juhudi za documentation labda hiyo nyoka ingeitwa Mwali...