World War 3

Hinfay

Member
Jan 13, 2012
33
6
(Sorry for the topic name,nimekosea)Nina mdogo wangu ambaye ana aibu kupita kiasi utafikiri amerogwa yaani dogo anafikia point ya kuogopa hadi opposite sex na nimejaribu counselling bado haimsaidii yaani hapa nilipo sijui hata nimsaidieje.
 
C.R.A.P. . . .
Sasa hiyo ndo vita ya dunia?

Haya mtambulishe kwa 'the same sex'.
 
Back
Top Bottom