World Vision vacancies: For Christians

Status
Not open for further replies.

Darling

Member
Jul 30, 2007
69
1
Jamani nimeona world vision wanatangaza kazi leo 1. internal auditors, ICT Manager and Sponsor ship officers.

Kwenye guardian ya leo. If you are a christian apply.

Thanks for information. BWT does this qualify to be ''breaking news''?
 
It could have been if the qualifications requirements included this.....He/she must be a muslim.
yale yale mbwa akimuuma mbuzi si habari ila mbuzi akiuma mbuzi ni habari
 
Hujasomeka hapo, unamaanisha nini?

Niliuliza habari ile inasifa za kuwa BNs only kwa sababu, hii habari tayari ipo magazetini tena in detail tangia jana, unless sijui maana ya BNs!

Hiyo habari ya Uislam vs Ukristu inakuje hapa ndugu?
 
Hii mambo ya kubaguana bana! sasa mimi mwislamu vipi? Kwani World Vision ni kazi ya kuhubiri dini? Mimi naweza kama naweza IT vipi?
 
World Vision wanakuwa na devotion (ibada) ya Kikristo kabla ya Kazi - departmental na Ijumaa ofisi nzima - na hii ni compulstory (part of work) sasa kama mtu sio Mkristo inakubidi ufanye hivyo. Pia katika referee one has to be your pastor - na sio sheikh so hapo non christian anakosa kazi. Hata hivyo sioni sababu wanahitaji Christians tu - they should advertise for all Tanzanians - ili non-christians wakiamua wajoin -
 
Ningependa kuongezea...

Kulikuwa hamna haja ya kuandika: "If you are a christian apply".
Maana kufanya hivyo anazidisha uchochezi. Ndio maana unyamwezini/US wana insist on "political correctness".

Nashukuru niliachilia mbali miungu na mitume ya wageni!
 
mkuu p,

Hili shirika lilianzia huko huko unyamwezini...hebu tupe ka experience wanaweka vipi matangazo ya kazi hapo US? Pia nadhani tukifahamu kwa nini WV ilianzishwa basi itasaidia sana.
 
mkuu p,

...hebu tupe ka experience wanaweka vipi matangazo ya kazi hapo US? ...

You are raising an interesting point. How do they advertise their jobs in the US, given all the sensitivity of political correctness over there?
 
World Vision wanakuwa na devotion (ibada) ya Kikristo kabla ya Kazi - departmental na Ijumaa ofisi nzima - na hii ni compulstory (part of work) sasa kama mtu sio Mkristo inakubidi ufanye hivyo. Pia katika referee one has to be your pastor - na sio sheikh so hapo non christian anakosa kazi. Hata hivyo sioni sababu wanahitaji Christians tu - they should advertise for all Tanzanians - ili non-christians wakiamua wajoin -
naomba kutokubaliana na wewe.....kupiga sala sio kigezo cha kuajili wakisto pekee mfano sospitali ya kcmc wanautaatibu wa kupiga sala kila asubuhi kwa wafanyaakzi wake.....kwa muislamu sio lazima......WV hawana sea za kuajili wakisto pekee haipo....

Uongo mkubwa hilo tangazo halijataja wakisto tu waapply....
 
Kwanini kuandikia mate wakati wino unaweza kupatikana...
Kuna takwimu inayoonyesha wana "hire" without the consideration of the candites's faith (or lack off).
 
Planckscale na wenzako,

Watafutieni ninyi kazi hao wasilamu mnaowatetea, kama hamwezi acheni kuosha vinywa. Jamaa kama wameweka criteria zao, ni zao, na kazi ni zao. NNINYI NI AKINA NANI muwapangie waweke vigezo mnavyovitaka ninyi, mliwapa mtaji wa kazi zao? Au wanakula kwenu?

ACHENI ujinga.
 
mbona waislam wanawafukuza kazi wakristo wengi tu kwenye private sectors, kisa, ati hadi wasilimu kwanza ndo waendelee. niweke kampuni iliyomfukuza kazi ndugu yangu humu kwasababuhiyo?
 
Usimfanyie ubaya mwenzako ikiwa wewe pia hutaupenda ubaya huo. The survival of a diverse society requires its citizen to be aware of the danger of any form of discrimination and to actively promote equality and non-bias policies. This may be trivial, but it is worth reminding ourselves sometimes.

2¢.
Mimi najitoa ukumbini...
 
Last edited:
naomba kutokubaliana na wewe.....kupiga sala sio kigezo cha kuajili wakisto pekee mfano sospitali ya kcmc wanautaatibu wa kupiga sala kila asubuhi kwa wafanyaakzi wake.....kwa muislamu sio lazima......WV hawana sea za kuajili wakisto pekee haipo....

Uongo mkubwa hilo tangazo halijataja wakisto tu waapply...

SOMA TANGAZO MZEE KABLA HUJAANDIKA. LINATAKA BARUA YA MZEE WA KANISA. KANISA GANI LITAMRECOMEND MUISLAM.

POLENI KWA USUMBUFU.

Darling
 
mbona waislam wanawafukuza kazi wakristo wengi tu kwenye private sectors, kisa, ati hadi wasilimu kwanza ndo waendelee. niweke kampuni iliyomfukuza kazi ndugu yangu humu kwasababuhiyo?

soma tangazo hajaonewa mtu hapa tangazo limejieleza jamani

pole kwa usumbufu.
 
mbona waislam wanawafukuza kazi wakristo wengi tu kwenye private sectors, kisa, ati hadi wasilimu kwanza ndo waendelee. niweke kampuni iliyomfukuza kazi ndugu yangu humu kwasababuhiyo?

Kila Shirika lina sera zake; kuna secular organisations na religious organisationa. Hao wanaopiga kelel wana lao jambo; je kuna Mkristo au Baniani anweza kuajiriw na Islam World Relief pale Mtaa wa Uhuru KAriakoo? Sina uhakika kama wamehama au la.

Pia waangalie wale wauzaji wa Ice Cream za Azam kwenye vibaiskeli vyao. Ijumaa lazima wavae baraghashia na kanzu, sina hakika kama ndo uniform za Ijumaa au ni klia siku.
 
Naomba darasa kidogo hivi Ice Cream azam nalo ni shirika la dini ?.Wauza Ice Cream wote ni waislam tena ni wavaa suruali fupi.
 
Hujasomeka hapo, unamaanisha nini?

Niliuliza habari ile inasifa za kuwa BNs only kwa sababu, hii habari tayari ipo magazetini tena in detail tangia jana, unless sijui maana ya BNs!

Hiyo habari ya Uislam vs Ukristu inakuje hapa ndugu?

Usinge kurupuka ungeiona hii ilipokuwa inaelekea na usinilaumu mimi kwa kutokuwa na uwezo wa kuona mbali. Mtoa taarifa hii anajua wazi kuwa aliitoa kwenye gazeti, inakuwaje ni breaking hiyo inategemea unaingalia kwa upande upi. Kwa mtoa habari hii ni wazi aliiangalia vigezo vya kazi yenyewe na wachangiaji wote waliofuata walijadili katika misingi hiyo ya Uislamu na Ukristo..usijali ukikua utayajua tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom