World Record for Crying Prime Minister

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Pinda ameingia kwenye record ya dunia kwa kulia hadharani bila sababu za msingi akiwa waziri mkuu.

Anaendelea kulalamika hadharani kwa mambo ambayo anatakiwa kuyatolea maamuzi... anataka madiwani wawajibishe wakurugenzi ambao wameteuliwa na rais (mwenye mamlaka yanayopungua kidogo tu kwa mamlaka ya Mungu) wakati wakurugenzi ni waajiriwa walio chini yake (TAMISEMI)
 
sio kosa lake tatizo ni kwamba Pinda hajui majukumu yake ni yapi.
Laiti nagelikuwa anajua asingelikuwa analialia kama mtoto vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom