World Cup Without Ronaldinho Unimaginable!

Pamoja na Ronaldinho kushuka kiwango lakini sijaona mtu mwenge kiwango kumzidi ,Nahisi huyu jamaa ana matatizo na Dunga .Kitu kingine ni kuwa Brazil kuna wachezaji wengi wakali lakini kocha ndio anachagua ,wachezaji kama Diego-Juventus,Ronaldinho-Milan,Pato-Milan,Grafite-Wolfsburg wanastahili kuwepo kwenye timu ya Brazil
 
Hata weye Rafayel unapaswa kuwepo!
 
Dunga atafanya kosa kubwa sana kumuacha Gaucho........atajuta mbeleni....Dinho anahitajika sana kama lengo lake(Dunga) ni kutwaa WC South
 
Unaangaliaga lakini ligi ya Brasil wewe au unaongea tu? Nina uhakika kabisa kikosi cha kwanza cha Botafogo, Fluminense au Flamingo kinaweza kuiwakilisha Brasil na wakachukua ubingwa....hawa jamaa wamebarikiwa bana....wee acha tu

Mkuu mi 'naangaliaga' na nimemuona mrithi wake kabisa anaeweza kuziba pengo,ila sema nae bado hajaitwa.dogo mmoja anachezea Santos anaitwa Neymar!kiwango chake ni kikubwa hadi nashindwa kukiweka kwenye maandishi mzee!!dogo ni mkali na media ya brazil imeanza 'chokochoko'kwa dunga kwamba dogo aende sauzi.
 
Kuna orodha ya watu nakutajia hii haina warithi na haitakuja kuwa na warithi.

1. Dinho Gaucho the Saint.
2. Yesu kristo.
3. Muhammad SAW
4. Bob Marley
5. Michael Jackson
6. Maradona
7. Pele
8. Jim Reeves
9. Edward Sokoine
10. GANG CHOMBA.

Kwa hiyo ukae ukijua Dinho hana wa kufanana nae.
Dinho katoka ligi ya Mbinguni.
So usikurupuke
 
Mkuu mi 'naangaliaga' na nimemuona mrithi wake kabisa anaeweza kuziba pengo,ila sema nae bado hajaitwa.dogo mmoja anachezea Santos anaitwa Neymar!kiwango chake ni kikubwa hadi nashindwa kukiweka kwenye maandishi mzee!!dogo ni mkali na media ya brazil imeanza 'chokochoko'kwa dunga kwamba dogo aende sauzi.

Pamoja na kwamba Neymar ni mzuri Dinho bado anahitajika kwa WC...Uzoefu wake wahitajika mazee..Neymar hawezi kufanya kile atakachofanya Gaucho.......Ni kama vile Zizou pamoja na uzee wake uliona mambo aliyofanya WC 2006????....Jiulize ni kwa nini England walisikitika baada ya Beckham kuumia juzijuzi hapa....uzoefu unamatter sana sometimes....Dinho kiwango chake kiko juu sana sasa.........angalia mechi za Serie A utaona ni kwa nini wajumbe wanaomba Dinho aende Bondeni
 
Jamani tuseme ukweli............Gaucho ni mzuri......however kama Kocha ni mambo mengi unaangalia.............pamoja na timu utakazokutana nazo na unaangalia uwezo wa wachezaji utakaowachukua.........si kwa kuangalia jinsi anavyocheza Serie A pekee......unaangalia na ligi zingine pia............na ni watu gani huyu Gaucho atapambana nao....................inadhihirika Gaucho akikutana na nguvu kazi dizaini ya akina Bosingwa, BaChary Sagna, Aurelia, Evra au Vidic............sijui hata kama utaona vitu vyake..........

........sasa basi ukiangalia vijana wa ki-Brasil wanao-onekana hivi sasa kuwa na kiwango kikubwa............atleast hao ndio watakaoleta ushindani mkubwa.............in this case it is imaginable WC bila ya Gaucho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom