World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

With 20 min played, SA are chasing shadows! Sijui kama wataambulia kitu. Ila kama Mex wangekuwa wakali basi ingekuwa balaa kwa SA
 
Yellow card ya pili Dos Santos wasipomchunga watalambwa nyingi Bafana
 
Hii Micamera ya Sauzi nayo ipo Bomba haswa!! yaani kwenye Big Screen mtu unafaidi kweli!
2nd Yellow card imetolewa kwa mchezaji wa sauzi
 
Kosa kosa nyingine Mexico wanapaswa kuwa makini wanapoteza nafasi nyingi
 
leo SA wakitoka bila kufungwa sijui, wanashambuliwa sana....ila wadau hizi vuvuzela zinaniirritate vibaya mno
 
South hawana ball possesion, hawana back, kipa wao anawafaa sana so far. Wangekuwa na kipa kama wetu wangekuwa wamefungwa at least 2-0.

Wakazanie dakika kumi za mwisho hizi wasifungwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom