WORLD CUP 2010 IN S.A: News and UPDATES

The Game is over here ENGLAND 3 EGYPT 1......... Hongera zao watoto wa malkia
 
German naona kama Vile jogoo anachinjiwa bandani mwake bado Goli moja wamelala Nyumbani
 
Mambo yamekwisha tufikirie sasa ni wapi tulikosea uganda akatufunga tena sisi wabongo sio tunakenua tu maana hapa kuna watu wanaangalia aliefunga goli ni wa man city,au wa chelsea au man u au pompey wakati hapa kwetu panawaka moto,uzalendo kwanza na kesho naomba tuweke mchango kuhusu mchakato wa kocha mpya wa taifa starz tuache kukenua meno nchi yetu na timu yetu wote hata tukiwa na hasira haisaidii maana hata senator anajua na mzee wa lupopo masaki anajua ,kilichompata kwa kina papa wemba.
 
South Africa nao wametoa 1-1 na Namibia ila hawa waandaji watatoka mapema sana June, kwanza mechi ya ufunguzi na Mexico hiyo Jun 11 wanapigwa
 
Angalia comment hii dah kweli mweupe ni mweupe tu mbele ya Ngozi yetu hii yaani hiyo record dah
England collect their 500th win in their 882nd international match. They maintain their unbeaten status against African opponents."
Unbeaten??????oops..Gokona huna record yoyote ya timu ya Africa kuishinda Uingereza?
 
Mambo yamekwisha tufikirie sasa ni wapi tulikosea uganda akatufunga tena sisi wabongo sio tunakenua tu maana hapa kuna watu wanaangalia aliefunga goli ni wa man city,au wa chelsea au man u au pompey wakati hapa kwetu panawaka moto,uzalendo kwanza na kesho naomba tuweke mchango kuhusu mchakato wa kocha mpya wa taifa starz tuache kukenua meno nchi yetu na timu yetu wote hata tukiwa na hasira haisaidii maana hata senator anajua na mzee wa lupopo masaki anajua ,kilichompata kwa kina papa wemba.

Kwa upande wetu kazi bado ipo sana!
 
wanavyojua kuchonga ,ila jamani fataki hayupo sawa kisaikolojia nyinyi acheni jamani tabia ya kuchua mke au mwanamke au mpenzi wa mwenzako ni mbaya tena mwenyewe akigundua na hata kusalimiana mtu hataki sio mchezo unakuta wengine wanachonga na mzinga kabisa anataka kuzaa na mke wa mtu jamani wewe unamjua mungu kweli ? tena mtu kama huyo anajifanya anaenda jumatano ya majivu unakwenda kufanya nini ndugu yangu au unamtania mungu,shauri yako,shauri yako weeee
 
ingewezekana South Africa ingetoka akacheza mwarabu angalau akijiandaa anaweza akafanya jambo la msingi lakini zuma cheche
 
Nasubiri kesho ktk magazeti watakavyopewa ujiko hasa kaka ngngoti

Kwa kuchonga England wapo juu sna yaani mda si mrefu utaona mabango yao kwenye Skynews na BBC achilia mbali kwenye mitandao yao..Leo furaha kwa kapelo na Ngongoti
Msikie Crouch hapa anasema
Peter Crouch: "Any player who plays for England in World Cup year is under pressure. All I can do is take the chance when I get one. It's up to the manager whether I start or not. Hopefully I've given the manager something to think about though."

Hapa Pongezi zake Capelo afu mrefu naona kajihakikishia namba WC
Good night for England coach Fabio Capello. Focus back on football again and a very big night for Peter Crouch and Shaun Wright-Phillips, who did their World Cup chances no harm at all. Capello will hope all his World Cup planning is back on track after the recent upheavals."

"If you come on, put two goals away and change the face of the game, you've done yourself no harm. I just think there's a good understanding between Emile Heskey and Wayne Rooney and that might win the day in the end.
 
nina data nyingi ila kimeniuma leo timu zote za africa zilizocheza na mzungu zimechapwa kasoro italy na cameroon bila bila hii maana yake nini? bado tupo chini kisoka ila tunajitahidi tutafika lakini kwa stahili hii ya usahili wa makocha ni urari hasi tu
 
ingewezekana South Africa ingetoka akacheza mwarabu angalau akijiandaa anaweza akafanya jambo la msingi lakini zuma cheche

Kumtoa mwenyeji haitawezekana kwanza kwa ufupi hakuwezi kutokea mabadiliko yoyote kwa sasa...South africa, Nigeria na Ivory coast am sure hawavuki 2nd round in the world cup!! May b kwa cameroon na hao waarabu wanaweza kaza kwenye game zao za mwanzo but there is no anykind of hope from African teams
 
Sasa mimi ni mfanyakazi sio wale anaowasema mbunge fulani wa kule upareni kwahiyo nalala ili baadae nikaitumikie nchi kwa uadilifu na umakini mambo ya due deligency hayatakiwi tena,gnt wadau wote big up sana
 
nina data nyingi ila kimeniuma leo timu zote za africa zilizocheza na mzungu zimechapwa kasoro italy na cameroon bila bila hii maana yake nini? bado tupo chini kisoka ila tunajitahidi tutafika lakini kwa stahili hii ya usahili wa makocha ni urari hasi tu

Sio kweli kaka
Greece 0 -2 Senegal
Angola 1-1Latvia(walichomoa)
Wengine wamefunga wenyewe yaani wamatumbi kwa wamatumbi kama
Nigeria 5-2 Congo Drc

Kwa hapo senegal itasogea kwa kuongeza points kwenye rank za fifa..ila Egypt anaweza kuporomoka zaidi
 
_47410637_008883209-1.jpg

_47410655_008883213-1.jpg

_47410748_008883436-1.jpg
 
Back
Top Bottom