Kutakuwa na workshop kubwa ya ulinzi wa mtandaoni (cyber security) na athari zake katika makampuni na mashirika mbali mbali. Workshop hii inatarajiwa kufanyika Morogoro (Morogoro Hotel) kwa siku tatu (26th, 27th na 28th of January, 2011). Workshop hii inaandaliwa na IFM chini ya faculty of Computer science, Informatics and Maths.
Lengo kubwa la workshop ni kuwapa maarifa washiriki, aina mbali mbali za mashambulizi ya mtandao (cyber attacks) na namna ya kujilinda nayo. Tumeshuhudia madhara ya haya mashambulizi kwenye serikali mbali mbali na kwenye kwenye makampuni binafsi, vile vile workshop itaangalia upya cyber security settings zetu kujilinda na mashambulizi ya mtandao yanayokuja.
Maudhui yafuatayo yatazungumziwa:
Overview of cyber security
Cyber security basics
Tools and technisues used in Cyber attacks.
Financial Crimes
Countermeasures
Legal aspect for cyber security
Preparing security policy.
Wazungumzaji wakubwa ni:
Prof. George Oreku (mtaalamu wa security Tirdo)
Dr. Eliamani Sedoyeka (mtaalamu wa security IFM)
Mr. Mohamed Kira (mtaalamu wa security IFM)
Walengwa wa hii workshop ni wadau wote wa IT serikalini na makampuni binafsi.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dr. Eliamani Sedoyeka (tel: 0784383844, email: huyder@yahoo.com) au Bajuna Salehe (tel: 0789846059/0718062899, email: bajuna.salehe@gmail.com) au Mohammed Saleh (tel: 0715970970, email: m.saleh030@googlemail.com)