Words women and men say during sex

hahahaha!
ndo maana mi nasema GIFT wangu akianza chuo nitaomba mungu anichukue....!nikiyafikiria yaliyotokea nikiwa nasoma NAPATA PRESHA

Mimi Matesha wangu kwa kweli kila siku napiga rozari mafungu ya utukufu, na kumsomea litania ya bikira Maria na ya Watakatifu wote. Mungu amfungulie njia awe sista Maria Magdalene! Ule upupu wanaofanyiwa mabinti vyuoni sitaki kuiona picha yake ikitokea kwa mwanangu!
 
Geoff tema mate chini, omba Mungu ampe mwongozo mzuri sio akuchukue, hayo mambo ni utoto tu wakikua wataacha.
bai dhe taim anashtukia ni utoto,orede keshatumika sana yani!...na mimba kazaa keshachomoa.

anakuwa POLLUTED!

HIVI HAWA WANAWAKE WANA MATATIZO GANI JAMANI WAKIWA CHUO?.....

kuna siku nilikuwa kwenye mafungo tunasali kuabudu ekaristia,nilitoka nje ya kanisa kupunga upepo baada yarozali kwa wingi NAELEKEA HALL SIX SIJUI FIVE NILIKUTA JAMAA AMEMUATAMIA MCHUCHU KWENYE MFEREJI WA MAJI ANAKATIKA KWELI KWELI....!

nilijaribu kuhoji ''usomi'' wanaouhubiri wana vyuo nilikosa jibu

ndo maana mimi madem wa chuo siwataki!
 
Afu watu watafikiria unatania! Hawajui kama si Mshiki saa hizi ungekuwa unapiga Bwana Awe Nanyi za kufa mtu!
 
Bby am comingggggggg,can we come together?sasa mtu unajiuliza he is coming frm wea?kilwa kivinje au mpiji madohe?acheni hizo
 
Afu watu watafikiria unatania! Hawajui kama si Mshiki saa hizi ungekuwa unapiga Bwana Awe Nanyi za kufa mtu!
hehehehe!
USIONE NYANI AMEZEEKA.......lazima amekwepa mishale mingi!

totoz za chuo mkuu NI KIMEO!......

naomba dadaaz wanisamehe,inawezekana ni wachache niliowaona mimi
lakini ndo hivyo tena
 
Hivi kuna mdada anaweza maliza chuo bila kumegwa? Ai miin festi yia mpaka lasti yia? Sijawahi kuona tangu nianze kusoma!
 
hili swala HALIPO DUNIANI!
wahanga wa haya matukio ni ''MA-BOIFRENDI'' wanaoachwa mtaani

haya maswala yananipain sana KAMA MWANAUME
 
Ngoja nikakanseli sponsaship ya waifu! Dah! Vijana hawachelewi kunibandulia nikifanya masihara!
 
Back
Top Bottom