word na excel

moko

Member
Apr 9, 2011
57
2
shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje?
 
Hard disk yako imejaa haiwezi ku-accomodate processes kubwa kama hizo. Free some space kwenye hiyo hard disk yako au ongeza/ upgarde hard disk.
 
mzee hard disk ina zaidi ya gb 12 kwenye user C nina zaidi ya free gb30,inaweza ikawa ndo shida?defrag.entation nimefanya pia nayo haijasaidia
 
shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje?

Ongeza virtual Memory . Google neno how to increase virtual memory. It might solve your problem
 
fanya complete unstall ya office alafu nenda kwa program file then delete folder ya microsoft office kisha anza upya installation
 
fanya complete unstall ya office alafu nenda kwa program file then delete folder ya microsoft office kisha anza upya installation

wakuu nikiunstall nahisi itakula kwangu kwasababu sina cd au hyo program sina na itakua ngumu kuipata,labda hebu nipeni ujanja zaidi
 
Back
Top Bottom