Women!!!

duh pole sana ungejua vizuri kabla ya kuji involve kihivi, japo najua kuna mahusiano mengine yanaanza na speed kali maswali yanakuja baadae, wengi wa namna hii ni wale ambao walidhani wanapita tu mahala then wananasa hapo ndio anaanza kuulizia ukoo na status

duh pole sana ungejua vizuri kabla ya kuji involve kihivi, japo najua kuna mahusiano mengine yanaanza na speed kali maswali yanakuja baadae, wengi wa namna hii ni wale ambao walidhani wanapita tu mahala then wananasa hapo ndio anaanza kuulizia ukoo na status

kweli kabisa mkuu ni wale waliokuwa na mkakati wa ku heat and run, lakin ajabu ananogewa na anaanza kufikiria kuweka kambi kabisa,hapo sasa ndipo maswali huanza ili apate info ya kutosha akiridhika anajiweka mzima mzima

Ulipaswa toka siku ya kwanza ujue ukweli wa hilo.

Lakini usife moyo inawezekana akaja kukwambia kitu cha kukutia moyo.

Mfano :Kuna demu alitokewa na kusema kwamba yy ameolewa kwao na hivi hataki kuwa na rafiki wa kiume kwa ajili ya kulinda ndoa yake.
Baada ya mshikaji kukaza kamba demu akasema mumewe anafanya mpango wa talaka kwa kuwa yupo mbali na asingeweza kuendelea na ndoa hyo.
Ungekuwa ndo ww mtokeaji si umeambiwa karibu?

Chunguza ,sikiliza,ongea kidogo, changanya na zako chukua hatua.

Tatizo ni kwamba watu hua tunakurupuka mno.Umenijua leo wiki ijayo unanitongoza...hujui nikoje kiundani...hujui kama nna mtu japo nimekwambia sina...hujui nafanya nini labda ni mjasirilimali wa asili (dada poa)...hujui nani anaeniweka mjini ila tayari uko tayari kunivua nguo.

Kua rafiki yangu...piga story na mimi...nichunguze kwa maswali bila kuashiria unataka zaidi ya urafiki...nisome kwa maongezi yangu...baada ya muda omba hata kunitembelea alafu sasa ndo ufikirie kunitongoza.Sio mambo ya wanijua leo...wanitaka leo!!!

Dah! Haya maujuzi utadhani unafundishwa rocket science... Haya mambo haya...basi tu.

Back
Top Bottom