Women!!!

Kwanini yeye aseme kama hajali kua nao wote wawili?!Huyu anaejali ndie alietakiwa kuuliza ili ajue kama panamfaa au la!!!
Haka kabinti kwa ubishi.....khaaa!...........Kama hajali kwanini azime simu usiku?
 
Umeonaeeeeeeeeee halafu kule nimekuuliza swali ukijifanya hunielewi?

We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitakiwa amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambaf
 
I think this is the right answer
 
We Mkirua kwani hujaona aliposema kwamba "we‘ve been dating!"...?

Nimeona Lizzy ndo maana nikamwambia unatuchanganya kwasababu ni kipi kinatangulia kati ya dating na feelings kwamba unampenda?
 
Umeonaeeeeeeeeee halafu kule nimekuuliza swali ukijifanya hunielewi?

Kumbe ni jukumu la mwanaume kumuuliza mwanamke kama ana M2. na sio jukumu la mwanamke Kusema am already occupied
 
Mkuu uliza kwanza usije ukatolewa nundu mtaani kwa kuparamia za watu
Imagine mwenye mali angekukuta kwenye hizo regular places zako ingekuwaje
 
Nimeona Lizzy ndo maana nikamwambia unatuchanganya kwasababu ni kipi kinatangulia kati ya dating na feelings kwamba unampenda?

Mkirua! Do the affections you have towards a woman/man whom you are in relationship remain constant since you first met?
 
Haka kabinti kwa ubishi.....khaaa!...........Kama hajali kwanini azime simu usiku?

Anazima simu kwasababu usiku ni muda wa baba mwenye nyumba...mpaka dakika hii bado sioni kosa la dada kutomjulisha mtu kitu ambacho yeye hakuona ni muhimu na mhusika hakuuliza.
 
Mkuu uliza kwanza usije ukatolewa nundu mtaani kwa kuparamia za watu
Imagine mwenye mali angekukuta kwenye hizo regular places zako ingekuwaje

Nimekusoma kabisa. Nilikua sijui kama ni jukumu langu kuuliza. nilikua ninajua ni jukumu la mwanamke kuniambia kabla sijamuuliza
 
Kumbe ni jukumu la mwanaume kumuuliza mwanamke kama ana M2. na sio jukumu la mwanamke Kusema am already occupied

Ni jukumu la mtongozaji kumjua anaemtongoza. Hata mimi leo hii akitokea mkaka nikadata nae mpaka kumtongoza sitomtongoza mpaka nijue kama ana wake au.
 
Anazima simu kwasababu usiku ni muda wa baba mwenye nyumba...mpaka dakika hii bado sioni kosa la dada kutomjulisha mtu kitu ambacho yeye hakuona ni muhimu na mhusika hakuuliza.

na hapa nadhani dada alichukulia zaidi ni company yaani sio uhusiano wa kuwa wapenzi
 
<span style="font-family: comic sans ms">Nimeona Lizzy ndo maana nikamwambia unatuchanganya kwasababu ni kipi kinatangulia kati ya dating na feelings kwamba unampenda?</span>

Chochote kile kinaweza kikatangulia...
 
Anazima simu kwasababu usiku ni muda wa baba mwenye nyumba...mpaka dakika hii bado sioni kosa la dada kutomjulisha mtu kitu ambacho yeye hakuona ni muhimu na mhusika hakuuliza.

Lizzy seriously!
Hivi nikakutongoza leo, nikiwa sijui uhusiano wako na Nyani Ngabu. utanikubalia?

Mimi ninapomtongoza mwanamke kuna majibu siyapendi, kwahivyo sitengenezi mazingira ya kupata hayo majibu
 
We acha unoko...... Huyo aliyetongozwa ndo alitakiwa amwambie mtongozaji "Sorry, nna msumari wangu wa kunitoboa" sio unakubali tu eti mpaka uulizwe.....nyambaf
Si ndo hapo Mkuu, Yaani wiki mbili hata hamjazoena vizuri unaanza kuuliza maswali kibao? mi nadhani huyo dada alimpenda tu jamaa kwa ajili ya kuridhishana na hakujua kua msela anataka long term relation!
 
na hapa nadhani dada alichukulia zaidi ni company yaani sio uhusiano wa kuwa wapenzi

Hiyo nayo inawezekana maana kuna wanaume wengine ukimchekea tu ukanywa nae soda mara mbili basi anadhani tayari anakumiliki au unampenda!!
 
Una hatari wewe
Kuna siku utatolewa nundu mkuu

Mkuu aliponiambia siku hiyo kuwa yuko kwemye ndoa nilitoa macho kama fundi saa. Coz nilikua naona kila mwanaume anayeingia lile eneo ndio mhusika.
 
Lizzy seriously!

Hivi nikakutongoza leo, nikiwa sijui uhusiano wako na Nyani Ngabu. utanikubalia?

Mimi ninapomtongoza mwanamke kuna majibu siyapendi, kwahivyo sitengenezi mazingira ya kupata hayo majibu

Kama nlikua natafuta ka-affair nini kitanizuia kukubali?!
 
Back
Top Bottom