Women: Your vajay jay doesn’t have to smell like roses

Afu wajameni hivi mnaonaje haya ma perfume...mimi mwenzenu naona kama ni vibaya kupulizia perfume kama nina meeting na mtu niso mjua...labda business kwani kuna mtu unaweza mfanya apige chafya mwanzo mwisho mpaka uone vibaya kilichokutuma kupuliza haya ma perfume.

Najua kuna perfume hazina harufu kali...lakini mostly ni za wanaume..

Kuna maduka pale Quality plaza yanauza nadhani udi...aisee mie uwa nayapitia mbali sana maana kitakachofuata ni chafya tu. Lol.

a mild cologne is always nice. Try euphoria by cK, ama play by givency. And dont overdo it. Ila udi nao, mi nikiskia harufu yake i presume mtu anaficha uchafu na naskia kutapika kabisa. Sijui labda sijazoea hang na watumiaji wazuri
 
NImeshatumia Euphoria ikanishinda...kwa sasa nina COCO Mademoiselle nadhani ntampa mama yangu soon.

Nimeamua kuanzia sasa naanza kutumia perfume za kiume...nadhani hilo ndio suluhisho...kwa sababu sijwahi ku tolerate perfume yeyote ya kike. Nilishawahi ugue athma nikiwa mdogo...kwa hiyo kwa sasa ni full allergy.

a mild cologne is always nice. Try euphoria by cK, ama play by givency. And dont overdo it. Ila udi nao, mi nikiskia harufu yake i presume mtu anaficha uchafu na naskia kutapika kabisa. Sijui labda sijazoea hang na watumiaji wazuri
 
Invisible, kwani lile jukwaa la wakubwa lilikuwaje jamani? Mi huwa nakuwa embarrassed aisee. Nitaanza kuhamisha addiction yangu nikiwa in public, aaaaghhhhrrr! Mtambuzi, shkamoooo

Kwanza hujaalikwa kwenye huu uzi.. wanaotakiwa kuchangia ni wale tu niliowa TAG tu, wewe umefikaje humu...! halafu huoni nimetumia KIINGELEZA hapo .......
Wanaotakiwa kusoma na ku comment ni above 18....LOL
 
Umenena...ukishakuwa msafi kwa nini utoe harufu mbaya...kama kuna harufu mbaya basi mwone daktari (angalia maelezo ya clip ya BAK)

Kuna watu kuoga hawataki wanadhani perfume ni dawa...perfume plus harufu ya kikwapa inazidi bomu la nuclea.

kuoga at least mara mbili kwa siku na kubadi Chupi inatosha kabisa....
 
Zamani ilikuwa tunapata matamanio ya kuwapanda wenzi wetu kutokana na wito wa harufu ya heat period, lakini siku hizi manukato yameharibu sana huwa tunabahatisha tu.... Haiyumkini wale wadada wasaidizi wa ndani huwa wanabakwa na wababa wenye nyumba kutokana na wito wa harufu zao za heat period, halafu munawalaumu waume zenu..
Punguzeni manukato jamani..LOL

yale yale ya harufu za fenesi!ahahaaahhahhahah chezeya k ya dada anayeoga jumapili tu!
 
mmmhh, kuna udi na udi.
Ungekuwa karibu ningekuonjesha.

Au jaribu wa AJMAL, na usi-over do

a mild cologne is always nice. Try euphoria by cK, ama play by givency. And dont overdo it. Ila udi nao, mi nikiskia harufu yake i presume mtu anaficha uchafu na naskia kutapika kabisa. Sijui labda sijazoea hang na watumiaji wazuri
 
117.jpg

Your vagina doesn’t have to smell like roses
Or be “douched.” Just because hundreds of products have been created to help you “clean up” your vagina, doesn’t mean that’s what men want. If you like to use those products—okay. But don’t use them out of insecurity. A vagina is meant to smell like a vagina.

93.jpg

615.jpg

Hii Firigisi huwa zaidi ta kusafishwa vizuri haitakiwi kuwa polluted na mavipodozi aka products nyingine zile!

Ni kama samaki; ina natural smell yake ambayo ndiyo moja ya vionjo vyake! Hata ukitoa mkono huko mafichoni unakuwa na ka-scent kakukumbushia what you have just had!
 
Nina perfume lakini nadhani itakuwa ime expire kwani ni mgumu sana kutumia hata perfumes...

Kurudi kwenye mada nadhani haya mambo yanaendana na culture...kuna watu nasikia shurti afukizie ubani huko chini...

Mimi siwezi...kwanza nina allergy na any strong smell.

Kuna wengine wanafanya kwa mazoea...na wengine kutokujiamini...wanadhani wananuka vibaya kumbe ile natural smell ndio mpango mzima.

Kaunga alinisimulia kuhusu wanyambo? lol
mhhh lol
 
Last edited by a moderator:
Chotto..sumimasendeshita....

Wewe na dada yako Kaunga mnatuteta nini sasa? Lakini sitaki hata kujua mlichokuwa mnasimuliana. Lol.
Kwani mimi najua niko pouwa na siwezi semea wanyambo wote...maana sijafanya research afu isitoshe mie ni chotara. Lol.

Mwaya niliwahi kucoment humu jamvini, jinsi gani wasichana wakihaya wanavyofundishwa kuosha hizo tundi zao; na umuhimu wa hiyo scent ya mwanamke kwenye masham sham.
Tena come to think of it, siukumbuki uzi wenyewe The Boss nisaidie kuutafuta; wadada wa humu walisagia sana hiyo scent nashangaa leo wanaisupport. Chezeya JF wewe!
 
huyoo sasa Nyumbakubwa ni chotara wa Wanyambo na Wahaya....
sikukosea saana....ni mule mule tu.....lol
 
Usishangae Kaunga wadada kubadilika...ndio kujifunza kwenyewe huko.

Watu wengi walikuwa hawajuhi madhara ya ku over wash lakini kwa kupitia mitandaoni nadhani wanaelimika.

Mimi mwenyewe nilikuwa si mtu wa kujichokonoa...si nikala sumu toka mtandao fulani nkasema nianze; weee...niliacha bila kuambiwa...nikaja ku confirm through google madhara ya kuingiza vidole kujisafisha.

Hivyo ukigeugeu ndo kujifunza kwenyewe.

Mwaya niliwahi kucoment humu jamvini, jinsi gani wasichana wakihaya wanavyofundishwa kuosha hizo tundi zao; na umuhimu wa hiyo scent ya mwanamke kwenye masham sham.
Tena come to think of it, siukumbuki uzi wenyewe The Boss nisaidie kuutafuta; wadada wa humu walisagia sana hiyo scent nashangaa leo wanaisupport. Chezeya JF wewe!
 
Mwaya niliwahi kucoment humu jamvini, jinsi gani wasichana wakihaya wanavyofundishwa kuosha hizo tundi zao; na umuhimu wa hiyo scent ya mwanamke kwenye masham sham.
Tena come to think of it, siukumbuki uzi wenyewe The Boss nisaidie kuutafuta; wadada wa humu walisagia sana hiyo scent nashangaa leo wanaisupport. Chezeya JF wewe!

So na wewe umeacha kujichokoa chokoa ?
 
Mimi sijaacha wala sitaacha; coz nina zaidi ya miaka 14 najichokoa na kidole (bila misabuni lakini) na sijapata madhara yoyote.
nyumbakubwa hajatueleza inakuwaje nyumba yenye panya?
kama mwanamke ambae hajichokoi huko na ile harufu ipo tele
kalala usiku bila kuvaa chupi? lol
 
Last edited by a moderator:
117.jpg

Your vagina doesn¡¯t have to smell like roses
Or be ¡°douched.¡± Just because hundreds of products have been created to help you ¡°clean up¡± your vagina, doesn¡¯t mean that¡¯s what men want. If you like to use those products¡ªokay. But don¡¯t use them out of insecurity. A vagina is meant to smell like a vagina.

93.jpg

615.jpg

''A vajay jay is meant to smell like a vajay jay''. Mkuu Mtambuzi nianzie hapo, ni wengi wanafikiri kujaza uturi, al ud, fashi fashi na perfumes ktk hizo sehemu ndio inaleta mvuto kwa mwanaume. Vajay jay(i love this), has to smell natural. Ile natural smell ni aphrodisiac. If well cleaned,no infection, usafi wa kawaida unatosha, matumizi ya ziada ya manukato yanaua hii kitu. Ladies,take that!.
 
Back
Top Bottom