Women: Your vajay jay doesn’t have to smell like roses

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,395
117.jpg


Your vagina doesn’t have to smell like roses
Or be “douched.” Just because hundreds of products have been created to help you “clean up” your vagina, doesn’t mean that’s what men want. If you like to use those products—okay. But don’t use them out of insecurity. A vagina is meant to smell like a vagina.

93.jpg





615.jpg
 
hivi mtu anatumia hivyo ili anukie afurahi au ili amridhishe mwanaume?

Anyway harufu natural ina raha yake Mtambuzi....
 
Last edited by a moderator:
mmmh, kila kitu kina ladha yake.

Ndo maana si kila siku nyama yatiwa kitunguu swaumu.
 
mmmh, kila kitu kina ladha yake.

Ndo maana si kila siku nyama yatiwa kitunguu swaumu.
Zamani ilikuwa tunapata matamanio ya kuwapanda wenzi wetu kutokana na wito wa harufu ya heat period, lakini siku hizi manukato yameharibu sana huwa tunabahatisha tu.... Haiyumkini wale wadada wasaidizi wa ndani huwa wanabakwa na wababa wenye nyumba kutokana na wito wa harufu zao za heat period, halafu munawalaumu waume zenu..
Punguzeni manukato jamani..LOL
 
kwa hiyo mnawanusa kama beberu?

Kuhusu wababa kufakamia HG sababu ya heat period, hala hala wasije fakamia na binti zao wakiwa kwenye heat.

Ku-pimp harusu kuna ladha yake once in a while.

Zamani ilikuwa tunapata matamanio ya kuwapanda wenzi wetu kutokana na wito wa harufu ya heat period, lakini siku hizi manukato yameharibu sana huwa tunabahatisha tu.... Haiyumkini wale wadada wasaidizi wa ndani huwa wanabakwa na wababa wenye nyumba kutokana na wito wa harufu zao za heat period, halafu munawalaumu waume zenu..
Punguzeni manukato jamani..LOL
 
kwa hiyo mnawanusa kama beberu?

Kuhusu wababa kufakamia HG sababu ya heat period, hala hala wasije fakamia na binti zao wakiwa kwenye heat.

Ku-pimp harusu kuna ladha yake once in a while.
Mabinti zao nao kama mama zao, hujisiriba mavipodozi mpaka wanachuisha kwa harufu zisizo zao, si rahisi sana kuvutwa nao.... Wadada wasaidizi huwa wanatelekezwa na wamama kiutanashati wakidhani kuwa wakiwa wachafu ndo hawatawavutia waume zao.... Looo, wasijue siri ya kijiharufu cha heat period kinavyonukia, na wanaume huwa wanakisikia kutokea mbali na huvutwa na kijiharufu hicho bila wao kujua(nguvu ya maumbile), wataalamu wanasema inakadiriwa mwanaume huvutwa na mwanamke aliye katika heat period aliyeko umbali wa mita mia moja..... Hivi wale mabinti huwa wanalalaga wapi...?
 
Mada zingine kama hizi ni kujifanya guest unakuwa unachungulia vile watu wanavyoshuka mistari...
Vinginevyo unaweza kuharibu shughuli ya watu bure... Mtambuzi hapa ngoja niwe kuku mgeni!....
 
Last edited by a moderator:
Nina perfume lakini nadhani itakuwa ime expire kwani ni mgumu sana kutumia hata perfumes...

Kurudi kwenye mada nadhani haya mambo yanaendana na culture...kuna watu nasikia shurti afukizie ubani huko chini...

Mimi siwezi...kwanza nina allergy na any strong smell.

Kuna wengine wanafanya kwa mazoea...na wengine kutokujiamini...wanadhani wananuka vibaya kumbe ile natural smell ndio mpango mzima.
 
Afu wajameni hivi mnaonaje haya ma perfume...mimi mwenzenu naona kama ni vibaya kupulizia perfume kama nina meeting na mtu niso mjua...labda business kwani kuna mtu unaweza mfanya apige chafya mwanzo mwisho mpaka uone vibaya kilichokutuma kupuliza haya ma perfume.

Najua kuna perfume hazina harufu kali...lakini mostly ni za wanaume..

Kuna maduka pale Quality plaza yanauza nadhani udi...aisee mie uwa nayapitia mbali sana maana kitakachofuata ni chafya tu. Lol.
 
Invisible, kwani lile jukwaa la wakubwa lilikuwaje jamani? Mi huwa nakuwa embarrassed aisee. Nitaanza kuhamisha addiction yangu nikiwa in public, aaaaghhhhrrr! Mtambuzi, shkamoooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom