Mama Ashrat
Member
- Apr 29, 2012
- 88
- 98
Kaunga hata mimi nimemsoma hapo juu na kwa kiasi chakutosha nakubaliana nae. Wanawake na wanaume wanapishana kwa kiasi kikubwa linapokuja swala la sex. Ujanani mabinti na vijana wote wanakua moto, inapofika muda wa kuoa na kuolewa vijana wanaendelea vile vile wakati kwa mabinti (sio wote) wao wanapunguza na ndipo malalamiko ya 'mke wangu haniridhishi/hataki kunipa haki yangu' yanaanza, then kinakuja kipindi cha monopouse wakati wanaume wengi wanaanza kupunguza perfomance wakati mama ndo kwanza hamu ime-multiply.Mama Ashrat
Msome nyumba kubwa vizuri, nakubaliana naye kwa kiasi kikubwa (kwani sikubaliani na interpretation ya results hapo juu, kuwa high level ya estrogen kwa wadada ndiyo yasababisha cheating); amedadavua possible sababu za cheating kwa both wasichana na women in their mid 40s!
Na kuna link, ambayo Super moderetor ameufukua ambapo kulikuwa na same case. Mdada amekuja na soln ambayo hainvolve cheating ili kusatisfy her sex urge! Creativity hiyo imekuwa influenced by LOVE kwa mumewe kwani hakutaka kumsaliti (kumcheat).
So l totally agree with u n ur hubby; kuwa penzi la kweli linaconcur all!
Ila nyakati zote hizo mmoja akijiendekeza lazima amtende mwenzake. Inapotokea sasa kwamba baba alimvumilia mama wakati yeye yupo kwenye "kipindi chake cha mpito" kwanini mama asiweze kumvumilia baba?
Last edited by a moderator: