Women with high estrogen levels more likely to cheat.....

Smile,ngoja sasa nianze kujipanga niwe lucky guy kwenye hiyo bikra.. . . .
 
Last edited by a moderator:
Smile,ngoja sasa nianze kujipanga niwe lucky guy kwenye hiyo bikra.. . . .
 
Last edited by a moderator:
Too late kivipi tena si umesema huna? Smile bana!
 
Last edited by a moderator:
Kama sex haina kipaumbele basi uvumilivu na kusaidiana kunahusika sana ndio maana nikasema kama sex sio muhimu sana(yani sio namba moja) mnaweza mkaendelea kusiwe na kucheat. Ngoja Baba Ashrat nae aje aweke senti zake hapa nijue anachukuliaje hili swala. Usikute mwenzangu siku perfomance ikishuka tu ndio nimempoteza.
Mama Ashrat kwetu sex sio namba moja. Namba moja ni penzi katika shida na raha.
 
Last edited by a moderator:
je wanaume wenye high testosterone ???????

na kama mwanaume hana appetite kubwa ya sex...je aongeze testosterone ????????

kuwa na more testosterone nyingi kwa mwanaume ina guarantee uwezo kitandani??????
 
Mbali na hayo, I was wondering if a high sexual appetite means necessarily the subject is more likely to cheat...
 
. Lakini wamama umri unapoenda nyege zinazidi na huku wengi wao waume zao ndo kipindi cha kuugua visukari na BP. Ndo maana wanatafuta viserengeti.

mmh, hii mbona kama inapingana na hali halisi on the ground? wanawake wengi wanapofikia menopause hamu ya ngono inapungua wakati wanaume (kama siyo mgonjwa) ndiyo kwanza kunakuwa kumekucha, wake wa pili plus nyumba ndogo na watoto wa uzeeni ndiyo wanapopatikana nyakati hizo...
 
In most cases wanawake wana uwezo na huruma ya kuvumilia mume asiye perform; ila wanaume mke akiugua akawa hawezi kumtimizia lazima achape nje. Akiwa na staha ataendelea kuwa na mkewe na ka small pembeni. Akiwa ndo wale wale basi na talaka utatwangwa.

Kama kuna mwanaume mwenye uwezo wa kutimiza ahadi ya katika shida na raha nampa pongezi; ila siamini kama yupo.

I adore you both Mama Ashrat n Baba Ashrat love is everything!
 
Kaunga,nilikua nauliza tu maana naona mnaongelea sex tu!Afu nimekumbuka ni wakorinto sijui ngapi imeandikwa... . . . . . ."Kwa sababu ya tamaa ya mwili kila mtu na awe na mke wake mwenyewe"!
 
Last edited by a moderator:
Kapitie vitabu vyako upya. Wewe unadhani ma sugar mummy wanatafuta nini kwa viserengeti? Ela au waganga wao wamewashauri hivyo? On contrary vibinti vyenye mabwana wengi si kwa kuwa vina nyege sana ni pesa ndio maana vinawapiga chenga ili ikiwezekane wale hela bila malipo.

Nikijichukulia kama mfano, nikiwa bado binti nilikuwa nasex kwa ajili ya kumridhisha nimpendae; but these days na mimi naridhika pia.

mmh, hii mbona kama inapingana na hali halisi on the ground? wanawake wengi wanapofikia menopause hamu ya ngono inapungua wakati wanaume (kama siyo mgonjwa) ndiyo kwanza kunakuwa kumekucha, wake wa pili plus nyumba ndogo na watoto wa uzeeni ndiyo wanapopatikana nyakati hizo...
 
je wanaume wenye high testosterone ???????

na kama mwanaume hana appetite kubwa ya sex...je aongeze testosterone ????????

kuwa na more testosterone nyingi kwa mwanaume ina guarantee uwezo kitandani??????
hapana ze boss wingi wa hormone na uwezo kitandani ni vitu viwili tofauti...
ndo maana unaweza kukuta mwanaume anakuomba weee mwaka mzima unasema ngoja nimpe kidogo
loh sekunde mbili chali
 
na kama nina mke 'mcharuko'
kumbe dawa yake ni sindano za kumpunguza tu esterogen...????????????
 
Smile,leo unasema umeokoka ngoja siku mbili zipite,utakuja na siredi,mara ooh jamaa yangu sijui kafanya vile mara hivi!

hii 'single' ya smile ya kuokoka na kuwa bikra inaniacha hoi sana... anyway, hongera kwa status hiyo if at all it's true...
 
In most cases wanawake wana uwezo na huruma ya kuvumilia mume asiye perform; ila wanaume mke akiugua akawa hawezi kumtimizia lazima achape nje. Akiwa na staha ataendelea kuwa na mkewe na ka small pembeni. Akiwa ndo wale wale basi na talaka utatwangwa.

Kama kuna mwanaume mwenye uwezo wa kutimiza ahadi ya katika shida na raha nampa pongezi; ila siamini kama yupo.
hawapo hata mimi nasaport
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom