Woman are very difficult

khaaaaaa muacheni hubby wetu! ukaguzi kwake suna, lol jg mzima wewe??

Mi ako poa tu! Naona tangu uondoke na taji la umiss cc umekua ghali kidogo!
Nway naona unamtetea Dc , sasa nimeanza kupata hisia huyu Babu anamilimbwateni ! Na kuna mtu alinitonya mandingo anayafataga Congo (not mtaa wa Congo) i mean kule Drc !
Ndo anaendaga kwenye maKamati.
 
khaaaaaa muacheni hubby wetu! ukaguzi kwake suna, lol jg mzima wewe??
Afu nimemisi kweli kupiga hii makitu ukiwa pembeni yangu.....

obama1.jpg
 
Afu nimemisi kweli kupiga hii makitu ukiwa pembeni yangu.....

obama1.jpg
umeona eeeee? huwa inanoga balaaa! yaani ni tamuje nikiwa nawe lol!! miss it too, ngoja nimalizie ile project, nitakuja pande zile lol!
 
Mi ako poa tu! Naona tangu uondoke na taji la umiss cc umekua ghali kidogo!
Nway naona unamtetea Dc , sasa nimeanza kupata hisia huyu Babu anamilimbwateni ! Na kuna mtu alinitonya mandingo anayafataga Congo (not mtaa wa Congo) i mean kule Drc !
Ndo anaendaga kwenye maKamati.
kama anatuendea congo mie cjui, ila ukweli ni kwamba akikugusa tu unanasa kama sumaku, waulize Yummy na BADILI TABIA, LOL
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaa hubby! Wanagombea kanga?? Labda wanawapelekea wake zao, lol
 
Khaaaaaa hubby! Wanagombea kanga?? Labda wanawapelekea wake zao, lol
Mke anapelekewa khanga miaka hii? Hii karne ya sayansi na teknolojia, mke anahitaji matumizi ya hii remote control bana

attachment.php
 
Anarusha mawe lakini hajui kulenga...

attachment.php

Kwa taarifa yako tuengevyo NastyBeibe amebebelea Miubuyu, Miukwaju, Mipemba na miUchachu mingine! Mie siijui ! Kukicha ni kichefchefu !
Kama sijui kulenga kajilenga mwenyewe ? Mi ndo Judge bwanaa!
Gusa-unase!
Napiga down, hamira juu yake!
 
Haidhuru kama utakubali kuwa nyumba ndogo. Wake zangu hawatajua. Usisahau, ukaguzi wangu ni yakinifu.

daisy-682_1317718a.jpg

Over my dead body,yani fitina zote kwamba mimi ni faiza eti mpenzi wangu Ronn M aniite mama ni mate yalikuwa yameshakujaa moyoni?Ssa naanzza kuamini maneno ya Baba V.Swala ni wake zako kujua au kulinda heshima yangu?Me mwanamke wa mume mja tu akinishinda Ronn M naishi useja umesikia babu mkware?Ila hii picha yako imenichekesha babu Asprin sijui umewaza na kumaanisha nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom