Wodi ya Sewa Haji- Muhimbili jamani kunatisha

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Tumedhubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele.
Kauli mbiu hii ya kinafiki.Aiwezekani kutembea unaimba kauli hii wakati huduma za afya bado duni.
Ndg tembelea Hospital ya RUFAA MUHIMBILI kajionee wodi ya wanaume SEWA HAJI KAJIONEE HALI MBAYA YA HUDUMA,
Wagonjwa wamelazwa chini kuanzia mlango kwenye rifti mpaka mwisho wa wodi ya unaingia tu pale.
 
Haitoshi ata njia ya kupita hakuna wagonjwa walivyo lala chini.
Je VIONGOZI WETU WANALIONA HILI/?
Je ni anasa za ainagani zinafanywa na viongozi wetu wanashindwa kununua vita au tunasubili msaada wa vitanda.?
Je ata NETI ZA KUZUIYA MBU HAKUNA tunaimba zinagawiwa bure wakati wagonjwa wamelala chini awana.?
 
bilion 64 zingejenga wodi ngapi na kununua vitanda vingapi? ngoja FF aje akujibu,eti wameweza!
 
Too pitty!
Nchi ya tuliolaaniwa!
 
sewa haji 2.jpg sewa haji 1.jpg
angalia picha hizi
 
sio hivyo tu tungejenga madarasa mangapi na nymba za waalimu ngapi kwa shilingi bil. 64
 
Tumedhubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele.
Kauli mbiu hii ya kinafiki.Aiwezekani kutembea unaimba kauli hii wakati huduma za afya bado duni.
Ndg tembelea Hospital ya RUFAA MUHIMBILI kajionee wodi ya wanaume SEWA HAJI KAJIONEE HALI MBAYA YA HUDUMA,
Wagonjwa wamelazwa chini kuanzia mlango kwenye rifti mpaka mwisho wa wodi ya unaingia tu pale.

sewa haji 6.jpg sewa haji 5.jpg View attachment 43464 View attachment 43465
 
Hapana tena hapana,Je wagonjwa waandamane kudai huduma bora.?
Je nina anategemea awezi kuuma au kupata ajari na kulazwa popote pale hospital.
Serikali inatambua kweli hili la wagonjwa lala chini tena Muhimbili hospt,
View attachment 43466 hapo watu nakatiza kwenye vitanda vya wagonjwa kwenda kuwajulia ndg zao.
We kuanzia mlango wamelazwa wagonjwa tena mlango mkubwa wa kuingia wodi ya sewa haji,
Huuu ni unyanyasaji na kunyima mgonjwa haki yake.?
Cha kushangaza mgonjwa ataambia alipie kitanda wakati kalala chini.? View attachment 43467
 
Hiyo ni cha mtoto kaka, nenda maternity block ujionee mwenyewe...

Mkuuu nimefika hapo wodi ya wakinamama wanosubili kujifunga au wamejifungua lakini bado wapo hospit kwa sababu za kitaalamu.
Mungu wangu uwezi amini wamelala chini na mimba zao wengine wanagarara na uchungu.
Jamaani hapa Muhimbili Noma.
WE fikili mwenye mimba kula chini.?
Hiii ni HATARI
TUMEDHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE mabango yameenea hapa Muhimbili!!!!!!!
UNAFIKI MKUBWA MUNGU WASHUSHIE RAANA

Je tumeshindwa kuwapatia chandarua japo wagonjwa.
Chandarua hizi zinazosomba utajiri kwenda Marekani nazo ni propaganda tu .
Hiii nchii ni kipi tunakiweza tunaweza kujisifu.?
 
Mkuuu nimefika hapo wodi ya wakinamama wanosubili kujifunga au wamejifungua lakini bado wapo hospit kwa sababu za kitaalamu.
Mungu wangu uwezi amini wamelala chini na mimba zao wengine wanagarara na uchungu.
Jamaani hapa Muhimbili Noma.
WE fikili mwenye mimba kula chini.?
Hiii ni HATARI
TUMEDHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE mabango yameenea hapa Muhimbili!!!!!!!
UNAFIKI MKUBWA MUNGU WASHUSHIE RAANA

Clinton katoa pesa za kujenga wodi za kina mama, jamaa wamekula mpaka Clinton kasusa. Na hapo Sewa Haji usiku usiombe maana madirisha hayana nyavu au zimeharibika sasa ile mipaka shume ndio huwa inarandaranda na kuiba vyakula. yaani mgionjwa afadhali atibiwe nyumbani tu maana akiwa hapo kuna possibilities kuwa anaweza akapata magonjwa mengine! absolutely pitty!
 
Mweeh nimeishia kutoa machozi tu!

Mtu unategemae unapingia wodini kwanza unakutana na mapokezi au maulizo.
Sihivyo pale sewa haji unakuta na wagonjwa wamelala kama magereza.
Wakumuuliza anakwambia nenda chini unaangalia hupande wa kushoto ukikosa rudi upande wa kulia,
Ni hatali wagonjwa wamefanyiwa operationa,wamepata ajari za kila aina wamelala chini.?>
Kweli hhii nchi ni yetu sote au.?
 
Back
Top Bottom