wizi

senetor mageja

New Member
May 27, 2012
1
0
hivi nikwel kwamba kila kiongoz aliyepata mafanikio ni mwizi au amehujumu uchumi wa nchi yetu? nini mawazo yako juu ya mtazamo huu.
 
Nyerere alifanikiwa sana, sidhani kama aliiba, Jery Lawrings alifanikiwa sana, sidhani kama ilikwia, Nelson Mandera alifanikiwa sana , sidhani kama alikwiba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom