wizi...

SamJet

Senior Member
Jul 22, 2009
162
13
Nipo arumeru, ukuta wa wigo wa nyumbani pia ni wigo wa hoteli ambayo ni makao makuu ya ccm huku Arumeru Leganga USA, kusema kweli ni vilio humo hotelini,

Wizi wa kura, hivi jiulize kwenye vituo vidogo, ccm wanapata kura zinazogawanyika kwa tano tu, mfano 200, 200, 50 n.k hawapati kama56, 74, 47, huu sio uchakachuaji kweli?
 
Aa tayari matokeo yameshatoka jaman. Hizo karatasi zilizobaki zinafaa kwa kufungia maadazi sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom