Wizi wa tiketi tff;rais tenga unatuambia nini??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Wakati huu ambapo ligi inamalizika kama tujuavyo siku ya mwizi arobaini kijana mmoja alikutwa na vitabu 5 kila kitabu akiuza ni sh 700,000 ktk hilo kijana huy akusita kutaja wahusika kadhaa ambao wengine wako mikononi mwa sheria..mzee wetu tenga jitokeze hata utueleze haka kamchezo kameigarimu tff sh ngapi wachilia zile za kudanganywa zimepatikana kiasi kadhaa kumbe TFF mlikuwa mna hela zenu pembeni...serikali naomba muingilie kai hili swala hii kesi kuna mlolongo mrefu huyu kijana atatupa mengi sana...najaribu ku imagine kitabu kimoja laki saba na alishauza vitabu 2 loh hiyo ni yanga na moro utd;SIMBA NA YANGA wanauza na kupata ngapi jamani????RAIS wetu tenga jitokeze tu usione haya ndio maisha vijana wanataka maisha ya fasta...lakini mmetuskitisha sana kwenye uongozi wa ndolanga awakuhai kukamtwa na ujinga kam huu mpaka AUDITING...

Tutashukuru tukikusikia mkuu
 
Back
Top Bottom