wizi wa sh 55.4 bilioni sekta ya madini

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
serikali haina risiti kuthibitisha kupokea zaidi ya Sh 55 bilioni kutoka kwa makampuni ya madini nchini.
Source:mwanahalisi ,page 13
 
Thi is interesting kama ni kweli kwa sababu kesho Rais Kikwete anatarajiwa kutoa mada juu ya umuhimu wa shughuli za uziduaji na uwazi katika mapato ya madini katika mkutano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uziduaji, (Global Extractive Industries Transparency Initiative -EITI), ambayo ina malengo ya kuongeza uwazi na uwajibikaji katika mapato yatokanayo na uchimbaji wa madini, mafuta na gesi asilia.
 
dah, mpaka miaka mitano inaisha, zitakuwa zimetoka bilioni nyingi kweli.....halafu sijui zinaenda wapi hizi fweza?
 
Thi is interesting kama ni kweli kwa sababu kesho Rais Kikwete anatarajiwa kutoa mada juu ya umuhimu wa shughuli za uziduaji na uwazi katika mapato ya madini katika mkutano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uziduaji, (Global Extractive Industries Transparency Initiative -EITI), ambayo ina malengo ya kuongeza uwazi na uwajibikaji katika mapato yatokanayo na uchimbaji wa madini, mafuta na gesi asilia.

hii kitu "wataipotezea"....tatizo washauri wake inawezekana hata hajampa hizi data, wenye wamemuandalia report inayo onyesha mafanikio na kuhitaji msaada zaidi ili mafanikio yaongezeke...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom