Wizi wa pesa kupitia computer kwa na mba 419

CHERP

New Member
Oct 6, 2012
3
0
kuna mingurumu ya sauti kutoka marekani na nchi za magharibi kuwa wamekuwa wakiibiwa pesa kwa njia ya namba 419 kutoka africa.. mimi si mjuzi wa hii habari.. ila baada ya kufanya utafiti nikagundua chimbuko ni NIGERIA mbapo inasadikkia kuwa ni scarm..
Si vibaya fahari wawili au zaidi ya wenye utambuzi au waliohabarishwa habari hii kupitia vyanzo vyovyote wakatupa walau kile kitakachotufanya na sisi tusiwe nyuma sana ya haya mambo...
 
Huo utafiti uliofanya ni 'futile' na dependent maana haujaja na conclusion.
Kamalize kazi uliyoanzisha bana.
 
"4-1-9" is a fraud named after the section of the Nigerian penal code which addresses fraud schemes.
 
Huo utafiti uliofanya ni 'futile' na dependent maana haujaja na conclusion.
Kamalize kazi uliyoanzisha bana.


ingekua vizuri ukasoma hadi mwisho ni nini nilichoandika kabla hujaropoka ulichojisikia, haikua na ulazima wa kucoment maana nimetaka mafahari wanaojua hii habari ndo wacoment na kueleza vile inakua.. ashakumu si mtafu, mtawaza mtoto hanuki mavi.. ila nashukuru kwa mchangako wako bwana PAKA JIMY
 
Back
Top Bottom