Wizi wa manispaa ya ilala juu ya viwanja vya kinyerezi

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Manispaa ya Ilala iliwauzia watu mamilioni ya Fomu za kununua viwanja maeneo ya Kinyerezi,
Wakati wanajua ukweli vile viwanja siyo mali yao kwani hawajawalipa fidia wenye maeneo
yao Kinyerezi.Ilivyo ni kwamba Mahakama kuu ya Tanzania imeamuru manispaa isimamishe zoezi
la upimaji viwanja na wala wasifike maeneo ya Kinyerezi mpaka kesi ya msingi iliyofunguliwa na
wanakinyerezi dhidi ya manispaa itakapomalizika.Pia Mahakama kuu imewaruhusu wakazi hao wa
Kinyerezi kuendelea na shughuli zao kama kawaida ikiwemo kuendelea na ujenzi ktk maeneo yao
.
wizi mwingine manispaa waliuza mamilioni ya Fomu wakati wanajua viwanja walivyokusudia kupima
si zaidi ya 3000 tu.
 
Mi nilishtuka niliona wizi wa mchana kweupeeeeeee
Aende CAG akakague zile 20,000 na 3000 zimetumikaje kama watu hawajajinyonga pale halmashauri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom