Wizi wa kura, masanduku 50 yakamatwa Arumeru.

We ni gamba acha uk niko hapa eneo la tukio ucwe unakanusha kila kitu
Mkuu kama eneo tukio elezea nn kinaendelea kwa sasa pia tuwekee picha ili tujue nn kinachoendelea maana wengine tupo mbali tunahitaji Valid information
 
Huu uchaguzi umeangukia siku mbaya sana.

Sikukuu ya Wajinga imeshaisha saa 4
 
ni kweli kuna masanduku yalikamatwa jana usiku ya kura na yenye kura ndani baadae yakachomwa moto
 
Tatizo Watanzania tunadandia sana.
Sidhani kama hii siku huko ulaya ilipoanzishwa wanaienzi kama tunavyoienzi sisi huku.
 
Sasa mbona hutumi picha kama ni kweli, acha utani kwenye mambo ya kweli, unaweza kusababisha maafa makubwa.
 
Ikiwa bado dakika 10 vituo vya kupigia kura kufungwa, imetoa 'sinema' ya aina yake.Gari yenye 'tinted' nyeusi aina ya Toyota Land Cruiser inayoaminika kuwa na masanduku yaliyotikiwa mgombea wa CCM limekimbizwa na gari la wafuasi wa CHADEMA na walipowakaribia waliokuwa kwenye gari la 'CCM' walitoa silaha lakini polisi wameweza kutuliza ghasia hiyo na gari hilo tayari liko central.
Source : Star tv & ITV
 
This is shame. Hivi mabalozi wa nchi zinazotoa misaada Tanzania wanayasikia haya! CCM wanakufa kifo kibaya. Sifa yao kuu ni kutomwogopa Mungu
 
Kazi ipo huko arumeru safi sana vijana wa chadema magamba hawana pa kupumulia hali ni tete kwao sio igunga huko.
 
Kama hivyo ndivyo hakuna haja ya kufanya uchaguzi. Kama unauhakika kuwa unaotaka kuwaongoza hawakutaki kwanini uwalazimishe halafu uishie kuishi kama digidigi!!?
 
CCM inakufa kifo kibaya sana, ni sawa na mgonjwa wa Kansa anavyokufa kwa mateso makali:lock1:
 
Ikiwa bado dakika 10 vituo vya kupigia kura kufungwa, imetoa 'sinema' ya aina yake.Gari yenye 'tinted' nyeusi aina ya Toyota Land Cruiser inayoaminika kuwa na masanduku yaliyotikiwa mgombea wa CCM limekimbizwa na gari la wafuasi wa CHADEMA na walipowakaribia waliokuwa kwenye gari la 'CCM' walitoa silaha lakini polisi wameweza kutuliza ghasia hiyo na gari hilo tayari liko central.
Source : Star tv & ITV
Mkuu ungetuwekea namba ya gari hilo taarifa hiyo ingekuwa na nguvu zaidi
 
Back
Top Bottom