Wizi wa kura;ccm yatia aibu kimara-serikali za mitaa

DIWANI BWA RINGO AMBAE ALITIA AIBU YA MWAKA ALIPOINGIA NDANI NA KUANZA KUROPOKA OVYO OOH CHADEMA IMEIBA KURA...HAMAD WAKATI IMEZIMWA TAA...MABO YAKAGEUKA...GAFLA WAKADAI KURA ZA CHADEMA 276 NA CCM 398....MAWAKALA WA CHADEMA AWAKUTAKA KUSAINI ILE FORM NA KULALAMIKA UHUNI ULIOFANYIKA....MUNGU SI ATHUMANI WYULE DADA JAMANI NTAWALETEA FORM ALIOSAINI YA MATOKEO HATA KUANDIKA HAJUI AKJAZA FASTA...WAKATI ANAJAZA AKUWA ANAAGALIA HUKU CHINI WALIOJIHANDIKISHA KUPIGA 1160,,WALIOPIGA KURA 935....KURA ZA USHINDI ZA CCM NA CHADEMA NI 276+398=674...KUNA TOFAUTI YA DADI YA WATU KAMA 261AMBAPO KATIBU MTENDAJI AMEITWA KUULIZWA NA KUJIBU HAJUI ZILIPOENDA HIZO NYINGINE SIMPLE.HAYA NDIO MATATIZO YA KUWEKA WATU KUIBA KURA BILA KWENDA SHULE HATA KUIBA WANAKUIBIA KWA KUDESA......HATA MATOKEO YA KURA WALIKATAA KUTOA COPY WAKADAI NENDEN KWA MTENDAJI...MARA MTENDAJI ANASEMA NENDENI KWA HUYU KATIBU TAPELI PAMELA...AKAFWATA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NDIPO ALIPOPIGA SIMU NA KUAMURU HARAKA SANA WAPATIWE MATOKEO...JAMANI WAMETOA COPY NITAIWEKA HAPA NI AIBU TUPU...TUNAOMBA WANASHERIA WENYE UWEZO WAJITOKEZE KUWASAIDIA MAANA INAONYESHA BW LISU YUKO NA KAZI NYINGI SANA KUFWATILIA....AIBU HII NITAITOA HADHARANI KESHO NA SAINI YA HUYO DADA NA MUHURI WAKE .....
JUMAPILI MSHINDI KWA NJIA YA UTAPELI BW R.MASSAWE AMETANGAZA WANA CCM WOTE KUJA PALE WAFALME BAR KUTAKUWA NA MBUZI WAWILI NA KITIMOTO 2 KUBWA ....HII NI AIBU YA TAIFA...ALAFU RAIS ANASEMA JAMANI MNAOSHINDWA MKUBALI MATOKEO KUMBE WANAJUA UCHAFU WANAOTUMIA KUSHINDIA.....


MPENDA MAGEUZI
Ngoma draw, huyo dada hajui kuandika, nawe hujui kuandika! Hebu tizama jinsi ulivyoandika hapo juu! Aibu tupu.
 
Ngoma draw, huyo dada hajui kuandika, nawe hujui kuandika! Hebu tizama jinsi ulivyoandika hapo juu! Aibu tupu.

Aibu tupu ni yako wewe usiyejua kuna tofauti za kanuni katika kuandika official document vis-à-vis email/blogs/sms/forums....
 
Aibu tupu ni yako wewe usiyejua kuna tofauti za kanuni katika kuandika official document vis-à-vis email/blogs/sms/forums....
Wacha ushamba, hebu nipe kanuni alizotiumia! Then mnataka nchi, huyo M'kiti wenu tu amekimbia shule....
 
Mkuu shukrani sana kwa kutujuza hili, kilichobaki ni kutandikana viboko ili tuheshimiane, ndo maana saa nyingine watu wanatamani ukoloni urudi ili tujifunze adabu. Sasa hapo wanatufundisha nini viongozi hawa wezi wa kura!
 
Ngoma draw, huyo dada hajui kuandika, nawe hujui kuandika! Hebu tizama jinsi ulivyoandika hapo juu! Aibu tupu.
Kibunango mambo waliyofanya sisi m yenu karibu kote Tanzania ni aibu tupu!
Watu wazima na akili zao mbovu eti wanatamba kwa ushindi wa asilimia 90 wakati hata kwetu huku walifanya ujinga huo huo! Mimi nilidhani ni kwetu tu kumbe ni karibu Tanziana nzima?
Ila nikupe ukweli ni kwamba kwetu tuliwakomalia sana kiasi walishindwa kila mbinu ilikuwa imeshikwa mkononi mwetu.
Walifikia hatua ya kupoteza hata muda wa kuhesabu kura wakidai mara Mgombea wa sisi m hayupo, na wala hapatikani kwa simu.
Mara likaletwa sanduku la kura ambalo halikuwa linajulikana linatoka kituo gani.
Mara wakataka kuhonga mawakala lakini wakakuta wote ni walokole. Looooooohhh kila njia ikabanwa.
Mara hivi mara vile hadi kura za mwenyekiti zikahesabiwa saa 11 asubuhi. Tayari nilishamshinda huyo mgombea wa sisi m kura 500, akakimbia bila hata kunipa mkono wa hongera.
Bahati ni kwamba wapiga kura walishabaini njama na walikuwa tayari kufa na mtu. Walibeba mawe yao tayari kukabiliana na kila atakayetaka kuchezea kura zao.
Mi ninatoa tahadhari kwa wasimamizi wa uchaguzi kwamba fujo yoyote itakayotokea kwenye uchaguzi mkuu victims wa kwanza watakuwa ni wao maana imethibitika wao ndio wanaochezea kura kwa kutumiwa na hawa maafisa usalama. Next election tutahakikisha hakuna cha kuchezewa kura zetu. Kama wakijaribu hatutajali wewe ni afisa wa serikali au nini! tutaitisha nguvu ya umma ikushughulikie. Hii iko above every thing haijali hata polisi. Nililishuhudia hili na linaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom