Wizi mwingine wa vodacom huu hapa

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jmn huu co mtandao wa ku2mia kama ww ni mtanzania unae ishi maisha ya kawaida,
hapa namaanisha kwa wale wa2miaji wa INTERNET
Ukijiunga na cheka internet ya sh.500/= wao wanadai eti wanakupa 20Mb, huu ni Uongo tena mkubwa mno yaan ni kwamba ukishajiunga hapo utapewa 13.5mb tu huu ni wizi wa kiTEKNOLOJIA ambao hauwezi kuvumilika kama kuna m2 amewahi kujiunga na hii cheka INTERNET na kudownload vi2 vyenye ukubwa hata wa 15mb aseme.

NAWASILISHA..!
 
Mi natumia internet ya Airtel,mb 400 kwa siku 30,tangu nilipoanza kujiunga sijawahi kumaliza mb 400 kwa siku 30,kama vipi AMIENI AIRTEL.
 
Mkuu inaonyesha matumizi yako ya internet ni madogo sana. Kwa sisi wapenzi wa movies,series na vinginevyo mfano wa hivyo MB 400 it is very small package. Kwa ufupi ni kwamba hii package ya MB 400 for Tsh. 2,500/= ni for light users. Nilishaitumia kipindi cha nyuma lakini nimeona hainifai, ndani ya nusu saa tu nimeshazimaliza hizo MB 400.

Kwa sasa niko tigo na package zao for standard users, at least i am confortable now.
 
Kwa mara ya kwanza mimi leo nimeweka standard, sijajua kama zile MB za standard speed zikiisha speed itadrop kama voda. Maana voda zikiisha zille za max speed unatamani hata utupe modem. Ila nimegundua tigo speed yao sio costant, kuna wakati inayumba.
 
Standard mb 70 kwa sh 700 inamaana mb 350 sh 3500 so still airtel ni rahisi
 
Achana na hivyo vi-bundle vidogo, at least unga standard week internet ya modem(not mobile phone), unapata 1024 MB at higher speed for 10,000/= there after unabaki connected mpaka mwisho wa package life time at lower speed(no extra cost). Although hawajaweka wazi hii lower speed ikoje, lakini to me, it is much better compared to vodacom.
 
Jmn huu co mtandao wa ku2mia kama ww ni mtanzania unae ishi maisha ya kawaida,
hapa namaanisha kwa wale wa2miaji wa INTERNET
Ukijiunga na cheka internet ya sh.500/= wao wanadai eti wanakupa 20Mb, huu ni Uongo tena mkubwa mno yaan ni kwamba ukishajiunga hapo utapewa 13.5mb tu huu ni wizi wa kiTEKNOLOJIA ambao hauwezi kuvumilika kama kuna m2 amewahi kujiunga na hii cheka INTERNET na kudownload vi2 vyenye ukubwa hata wa 15mb aseme.

NAWASILISHA..!
Normaly computer inapokua connected kwenye internet kuna activity inakua inafanya kwenye back ground kama ku pull updates. depending na software zilizokua installed updates can consume a considerable share ya MB zako. So u can turn of automatic updates za OS, AV, na software nyingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom