wizi mtupu zanzibar;manispaa yagawa uwanja wa mpira wa malindi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
timu ya malindi imeamua kufunga minyororo ofisi zake na kuamua kuandika barua ya kujitoa baada ya kuamuriwa kugawa kiwanja chake bila taarifa kwa mfanya biashara seleman takie...akiongea na mwandishi wetu mwenyekiti wa timu ya malindi alisema mi nilijua ufisadi uko bara mpaka michezoni sasa...mi nimeamua kuifunga aiwezekani ati unaambiwa imetoka memo toka ofisi ya raisi apewe kiwanja ajenge hotel ya kimataifa.......
kila la kheri alietangulia ametangulia
 
Kwa nini wasimpe bwawa la Bwawani hotel, zaidi ya Malindi kutumia kiwanja hicho, hutumika vilevile wakati wa sherehe za idd zinazo angukia katika msimu wa masika.
 
Kwa nini wasimpe bwawa la Bwawani hotel, zaidi ya Malindi kutumia kiwanja hicho, hutumika vilevile wakati wa sherehe za idd zinazo angukia katika msimu wa masika.

Watu wanajua ufisadi upo bara tu; lakini MADUDU YALIYPO SMZ NI YA KUTISHA SANA. Sema WaZNZ nao wamelala mno; akitokea mtu akizungumza kama Viongozi waliopo wadarakani WANAKOMBA maana si kuiba ANAWEKWA NDANI NAKUFUNGULIWA KESI ISIY0 KICHWA WALA MIGUU KM YULEE MWANDISHI..... Kila sehemu pannapoonekana pako loose na pana faida; mtu anaenda kwa mkuu wa kaya pale Mnazi mmoja anapewa ka-MEMO mabo yanakwisha.

TUKUBALI KUNA UFISADI KTK SMZ!!! SI KTK SMT PEKEE (WOTE NI BABA 1 NA MAMA 1 ...A.K.A CCM)

Inasikitisha jinsi nchi inavyoendeshwa na gurupu la familia moja ,lakini isisahaulike Amani aliwahi kusema kuwa wazanzibar hawakumchaguwa na hata kama hawakutaka kumchanguwa hakuna shida kwani alisema kura yake na ya mkewe inatosha kumfanya yeye kuwa Rais. hatama yake leo tunajionea madhila kama haya lakini Amani si wakulaumia .zilikuwa nguvu za fusadi wa Ben bin Mkapa na dio sasa yana mrudi maovu aliyowafanyia wasiokuwa na nguvu za dola.
 
Tatizo la Zej uzalendo umewazidi pamoja na nizamu ya woga walioyo nayo viongozi wanawaona kama miungu. Ufisadi ndani ya Zenj hataki hata torch ili uwone kina kiongozi moja anaitwa hapa pangu
 
Mi nafikiri huu ukoo

aitwe mwanaheri amani karume....................
 
Watu wanajua ufisadi upo bara tu; lakini MADUDU YALIYPO SMZ NI YA KUTISHA SANA. Sema WaZNZ nao wamelala mno; akitokea mtu akizungumza kama Viongozi waliopo wadarakani WANAKOMBA maana si kuiba ANAWEKWA NDANI NAKUFUNGULIWA KESI ISIY0 KICHWA WALA MIGUU KM YULEE MWANDISHI..... Kila sehemu pannapoonekana pako loose na pana faida; mtu anaenda kwa mkuu wa kaya pale Mnazi mmoja anapewa ka-MEMO mabo yanakwisha.

TUKUBALI KUNA UFISADI KTK SMZ!!! SI KTK SMT PEKEE (WOTE NI BABA 1 NA MAMA 1 ...A.K.A CCM)

Huku kulala mwenzangu sio Zenj tu ila kule Zenj utitiri wa Polisi hauna kazi na hutafuta sababu kama hizi kujionyesha kuwa hawalipwi bure. Angalau Bara watu wanafanya wawezavyo na Polisi ni wachache na wanakawia kufika.
 
Timu ya Malindi haina uwanja wa mpira ,hata wao walijikita tu pale ,ilipoanzishwa wakati huo ,lilikuwa ni eneo huru lisilomilikiwa na timu yeyote ile. Just was a free ground kama pale mnazi mmoja ,timu zinacheza na kufanya mazoezi ana kwa ana ,ila vile viwanja sio vya kwao ni vya manispaa wakati wowote unaweza kutumika na kuwatimua ,kusema kweli timu za Zanzibar hazina hati miliki za viwanja hivyo wajuzi wanaweza kutumia mwanya huo na kuwaweka pembeni.
 
Back
Top Bottom