Wizi mpya wa majumbani!

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Hali zenu wapendwa? Alfajiri tumemkamata mwizi wa majumbani, kabla ya kumuadhibu nikataka kujua ni wapi wanapozipata dawa za kupulizia watu madirishani mpaka wanapoteza fahamu. Sikuamini jibu alilonipa, kumbe huwa wanachukua CD wanaiwasha moto halafu ule moshi ukikupata ukiwa umelala unakuwa nusu kaputi!
 
Lord Have Mercy! ila wanasema kama unalala na maji chumbani, ile sumu inakuwa absorbed kwenye maji! mmmhhh ni wizi mbaya sana!
Hii haina cha maji wala nini! Yaani wenyewe wanaiita kubwa kuliko.
 
New entry in my head! Duuu! Hivi wana training college? Hizo mbinu wanazijuaje? Shetani ana mbinu sana!
 
Kumbe ndo maaaaanaaaaa...au sio...ndo mana nkimaliza ku-do napata usingizi mzito...ze friction!?? heheh....:A S confused:
 
kazi ipo saa inzi na tik tak linalokujia, very new, cheap, na ya ukweli mwe
 
Kama hii mbinu it works Mbona mlimdaka? Tuelezeni mlimdakaje? Msije Mkafanya tukamatwe tukitumia hii mbinu!



QUOTE=KARIA;4092597]Hali zenu wapendwa? Alfajiri tumemkamata mwizi wa majumbani, kabla ya kumuadhibu nikataka kujua ni wapi wanapozipata dawa za kupulizia watu madirishani mpaka wanapoteza fahamu. Sikuamini jibu alilonipa, kumbe huwa wanachukua CD wanaiwasha moto halafu ule moshi ukikupata ukiwa umelala unakuwa nusu kaputi![/QUOTE]
 
Kwa tuliosoma Advanced Organic chemistry tunajua what an astonishing mechanism hizi mambo ziko!

Hata tear gases ikipigwa we funga kitambaa wet around your head,the tear gas will rush to the kitambaa na sio macho.

For more infos,njoo pm.
 
Na mtu akiwa macho chumbani kwake huku hao vibaka wanachoma hio cd nje ya dirisha lako,je itakuletea madhara?
I mean itakufanya ulale??
 
Lord Have Mercy! ila wanasema kama unalala na maji chumbani, ile sumu inakuwa absorbed kwenye maji! mmmhhh ni wizi mbaya sana!
hayo maji yanatakiwa kuwa kiasi gani na kwenye chombo cha wazi au hata kilichofungwa km chupa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom