Wizara ya mambo ya ndani mambo magumu..

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...

Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kweli

naomba kutoa hoja..
 
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kwelinaomba kutoa hoja..
Usijali Mkuu! Wanaendelea kutajana...! Mwisho wataturejeshea li nchi letu tuhangaike nalo.
 
Kuna uwezekano wa watuhumiwa hao kufungua kesi kuishitaki serikali kwa kuwanyima haki ya kusikilizwa kwa uzembe wa serikali ?
 
Haki!? unazungumzia nchi hii...hapo tutapigwa blah blah na kamwe hawatakubari kuwa gari la kubebea wafungwa halikuwa na mafuta...
 
Ni kweli kabisa, kuna chuo kikuu kimoja cha serikali, lecturer hawezi kupata hata karatasi (plain paper) ili aandae notes za masomo yake, ukienda kuprint kazi ikizidi karatasi 15 unaambiwa njoo na karatasi zako. Na ukiprint unaambiwa wakuprintie pande zote (kugeuza karatasi). Jamani tumekwisha!!!!!!!
 
Wee Foiza foxy (fox) inaonekana umetumwa na magamba, siku yenu inakuja. Wakati wtanzania wanateseka wewe unaponda tuuuu, nimeangalia sana thread zako hakuna jipya unaloleta badala ya kutafuta suluhu ya matatizo ya watanzania kazi kulamba viatu vya magamba tuu
 
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...

Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kweli

naomba kutoa hoja..

nagonga meza
 
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu wakitaka kupelekwa mahakamani huku Askari magereza wasijue la kufanya...Je aliyoyasema Zitto kuwa serikali imefirisika ni kwelinaomba kutoa hoja..
sio kifedha tu hadi kimipango na utimizaji wake...
 
Back
Top Bottom