Wizara Ya Elimu

lowamond

Member
Nov 2, 2011
24
2
Hivi Kwa Nini Wizara Ya Elimu Pamoja Na Umuhimu Wake Ndo Wizara Inayoongoza Kuwa Na Mawaziri Wabovu Toka Enzi Za Juma Kapuya, Joseph Mungai, Magareth Sita, Jumanne Magembe Na Sasa Shukuru Kawambwa?! Af Mbaya Zaidi Wengi Ni Ma-Profesa Na Ma-Dk..Manake Sidhani Ka Kuna Hata Mmoja Aliyeacha Kumbukumbu Chanya Ya Maana Kwenye Wizara Yake Zaidi Ya Kuongeza Matatizo Ka Migomo Vyuo, Ubadilishaji Ovyo Wa Mitaala, Kuchelewa Kupata Au Kutopata Mkopo, Uvujaji Wa Mitihani karibu Kila Mwaka, Kuongeza Matatizo Kwa Waalimu Ka Kupata Mishahara nk, Kufuta Mitihani ya La 4 Na Kidato cha 2,.Na Inapoelekea Wanaweza Wakafuta Na Suppl Na Discont.
 
Hivit Kwa Nini Wizara Ya Elimu Pamoja Na Umuhimu Wake Ndo Wizara Inayoongoza Kuwa Na Mawaziri Wabovu Toka Enzi Za Juma Kapuya, Joseph Mungai, Magareth Sita, Jumanne Magembe Na Sasa Shukuru Kawambwa?!
Huwekwa makusudi kuwafelisha watoto wa masikini ili watoto wa vigogo wapate nafasi ya kusoma
 
Hivit Kwa Nini Wizara Ya Elimu Pamoja Na Umuhimu Wake Ndo Wizara Inayoongoza Kuwa Na Mawaziri Wabovu Toka Enzi Za Juma Kapuya, Joseph Mungai, Magareth Sita, Jumanne Magembe Na Sasa Shukuru Kawambwa?!
Bila kumsahau Prof Sarungi.
 
HAWA MAWAZIRI NDIO WANATUULIA ELIMU HAWAAAA..
1. mtihani wa form 2 mtu hata akipata wastani wa moja(1) haina kurudia,.(MCHUJO UMEFUTWA). Tena ukiangalia watoto weengi wanaingia sekondari siku hizi, tena hadi wale vilaza kabisaa/ wamejazwa mashule ya kata na mengineyo.. Unatarajia nini ktk matokeo ya form 4
2. MASHARTI YA MIKOPO VYOU VIKUU NI MAGUMU NA WANAFUNZI WA MASKINI WANANYIMWA AI KUPEWA % KIDUCHUU
3.. KUBADILISHA BADILISHA MITAALA KILA KUKICHA
4. FUTA RUDISHA YA MICHEZO MASHULENI.. INALETA UNCERTAINITY KWA MADENTI NA MFUMO MZIMA WA SHULE
5.. SERA ZA KIJINGA... WANAFUNZI KUSHIRIKISHWA KWENYE MAANDAMANO YASIYO NA TIJA mf. Kupokea kiongozi au mwenge, siku ya mfanyakazi, mkulima day, tena hizi madenti hupelekwa siku ya ufunguzi na kufungwa ktk kila mkoa(wanakosa mapindi)
6.. SUALA LA WALIMU WA VODA FASTA--- hivi mwl. Wanamuona mtu wa kumtengeneza miezi mi3 tena wanachukua wale waliozingua matokeo yao wakiwa skuli...
 
Back
Top Bottom