Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 282
wana Jf,
hii ni udhalilishaji wa kutisha wa kufunga mwaka.
ni hiv, wizara imetuma barua tar 15 dec ikiwataka wakufunz wote warudi kazini wale walioko likizo na walioko.masomoni kuwa tar 19 wawe wamerudi.
lengo ni kuwalipa mishahara kwa hundi huku zoezi la kuhakiki watumishi likiendeleaaa hapohapo.
wakufunz wote wakarud, mara akaja muhasibu toka MOF wizara ya fedha. akasema nataka kila mtumishi aje kusaini kwenye hii orodha ya majina. ..... hundi sina, then narud nayo wizaran..
huu ni ujinga, fikiria mtu alikuwa likizo dar, kazi ni kigoma!!! au unasoma SAUT MWANZA,@ Kituo Mtwara..... hiyo kaz c angefanya mkuu wa chuo?????
mbaya zaidi baadh ya vyuo, ngumi zilitaka kupigwa @Tukuyi, MORO....
yaan kuna mauchafu kibaoooo kwenye hii IDARA YA UALIMU