Wizara ya elimu tangazeni matokeo ya kidato cha pili.

Nzagabulu

Member
Jan 3, 2013
60
8
Ni wiki ya pili tangu shule za sekondari mkoa wa kigoma zifunguliwe,ukitembelea shule nyingi katika halimashauri za kigoma hazina wanafunzi wa kidato cha tatu, ukifuatilia zaidi utaambiwa wanafunzi hawahudhurii kwa sababu hawajielewi wapo kidato gani, ili kuondoa hizo sababu zisizo na msingi wizara ya elimu itangaze matokeo ili aliye kidato cha pili ajitambue na aliye kidato cha tatu ajitmbue.
 
Back
Top Bottom