Wizara ya elimu kupitia idara ya ukaguzi wa shule imetoa nafasi za kazi

karibukwetusingida

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
290
137
Wizara ya elimu kupitia idara ya ukaguzi wa shule imetoa kazi kibao kanda kwa walimu wanaohitaji kuwa wakaguzi wa shule. Lazima uwe mwalimu mwenye uzoefu wa miaka mitatu kazini.

Zaidi tembelea mbao zote za matangazo za mikoa na ofisi za ukaguzi wa shule kanda zote.

Mwisho ni tarehe 7/8/2014, kumbuka hizi ni nafasi kwa ajili ya walimu walio ajiriwa tu na serikali.
 
Wizara ya elimu kupitia idara ya ukaguzi wa shule yamwaga kazi kibao kwa walimu wanaohitaji kuwa wakaguzi wa shule.Lazima uwe mwalimu mwenye uzoefu wa miaka mitatu kazini,zaidi tembelea mbao zote za matangazo za mikoa na ofisi za ukaguzi wa shule kanda zote.Mwisho ni tarehe 7/8/2014.
kumbuka hizi ni nafasi kwa ajili ya walimu walio ajiriwa tu na serikali.

Sawa wakuu na asante kwa taarika
 
jamani anayejua anuwani na taratibu zingine za kutuma maombi hayo kwa undani atujuze maana wengine tupo mbali sana na ofisi tajwa.Asanteni.
 
uhamiaji ni chambo lakini ukweli ni kwamba sio uhamiaji tu waende mbali zaidi kwa mashirika kama tanapa,pspf.lapf,nssf nhif na mashirika mengi uozo upo tunaenda kufanya interview kwa kukamilisha colum,kama kweli kuna dhamira ya kweli basi uozo huo ni mwingi kwelikweli sisi watoto wa wakulima tusiokuwa na ndg huko mbele tunaambiwa na vyongozi wetu kuwa turudi vijijini tukalime jamani mimi nimelima tangia mdogo mpaka sas lakini umaskini umekuwa kipaji kwangu sasa muda umefika kupokezna vijiti na wengine wakalime sasa.
 
Wizara ya elimu kupitia idara ya ukaguzi wa shule imetoa kazi kibao kanda kwa walimu wanaohitaji kuwa wakaguzi wa shule. Lazima uwe mwalimu mwenye uzoefu wa miaka mitatu kazini.

Zaidi tembelea mbao zote za matangazo za mikoa na ofisi za ukaguzi wa shule kanda zote.

Mwisho ni tarehe 7/8/2014, kumbuka hizi ni nafasi kwa ajili ya walimu walio ajiriwa tu na serikali.

dah, hii haina chanzo chake?
 
Back
Top Bottom