wizara ya afya!

Bongoclever

Senior Member
Jul 30, 2012
105
11
Jamani jumatatu ya tarehe 15 ndo hii hapa! Kweli wizara ya afya itatoa matokeo kama walivyosema?
Tupia hapa kama una details zozote hapa!
 
jioni ndio hii lakini matokeo bado acha tusubili2 kwa maana wanapanga wao wenyewe.
 
Duuh! Wizara ya afya,kama kutukomoa,mmetukomoa mpaka tumekomaika!!
KAMA HAYO MATOKEO YATATOKA MWAKA KESHO! TAFADHALI BORA TUAMBIZANE.MBONA TUNAONANA WATOTO KU2DANGANYISHIA NA PIPI! Aah! We tired!
 
ushaona na wewe......
Hivi altenative ya hapo ni nini.......?

bro mie pia ni muhanga wa hili swala sasa kwa wewe na wengine kama wewe ambao wanahitaji alternative ningewashauri kwa wanaotaka na wanaoweza kujiunga na chuo cha agriculture muhukuru fdc kipo njia ya tanzania-msumbiji,chuo hiki ni cha maendeleo ya jamii kipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto.kama upo tayari kujiunga weka email yako hapa ntakupa njia zitakazo kupa nafasi pale coz wameshafungua kile chuo pale.
 
my e-mail: danielcanisius47@gmail.com.
U'll inform me soon as possible.
 
bro mie pia ni muhanga wa hili swala sasa kwa wewe na wengine kama wewe ambao wanahitaji alternative ningewashauri kwa wanaotaka na wanaoweza kujiunga na chuo cha agriculture muhukuru fdc kipo njia ya tanzania-msumbiji,chuo hiki ni cha maendeleo ya jamii kipo chini ya wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto.kama upo tayari kujiunga weka email yako hapa ntakupa njia zitakazo kupa nafasi pale coz wameshafungua kile chuo pale.

bro yangu hii hapa younglove152@gmail.com
 
Ushaur wang n kutafuta namba za katbu mkuu na kuongea nae 2 may be msg itafka co mwny namba antumie mm nmpgie waungwana
 
Mm naona 2tafute namba ya cm ya katibu kwan yy ndo ataye2pa uhakka kama kuna m2 mwny nayo antumie il 2mpgie
 
Back
Top Bottom