Wizara ya afya

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
Hivi majina ya wizara ya afya ndio imetosha maan yametoka majina 1255 tu hii imekaaje waungwana wenye taarifa zozote kuhusu hili atusaidie kama ndio 50% tujue
 
nikusahihishwe wametoa majina 1166 tu na hapo ndio mwisho kuna barua ya sili ilitoka kila wilaya kutakiwa kupunguza idadi ya watumishin wanaowahitaji.this is Tanzania
 
Tanganyika hakuna wizara ya Afya, hao ni maagenti wa kusafirisha wagonjwa na kupeleka India
 
Hivi majina ya wizara ya afya ndio imetosha maan yametoka majina 1255 tu hii imekaaje waungwana wenye taarifa zozote kuhusu hili atusaidie kama ndio 50% tujue

VIPI m2 wangu umekosa nini?
 
Back
Top Bottom