Wizara ya afya yatoa Tangazo la kuanza kutuma maombi ya ajira

Mangi merry

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
221
41
Asubuhi ya leo nimepashwa habari na rafiki yangu aliekuwa anashughulikia mambo yake wizarani kwamba wizara imebandika tangazo kuwataka wahitimu wote wa kada za afya waliomaliza intern wapeleke vitu vifuatavyo:
Certified copi za vyeti vya O level, A level, trancript, birth certificate na university certificate. Barua ya kupendekeza mkoa au wilaya unaotaka kufanyia kazi, CV yako na cheti cha kusajiliwa kwenye baraza la kada yako.

My take: kwanini wizara isiweke Tangazo kwenye website yake ili na wa mikoani walione!?
 
Walengwa wako D'salaam
 
http://www.moh.go.tz/TANGAZO KIBALI CHA AJIRA 2012 - 2013.pdf
 
Back
Top Bottom