Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizara ya afya vipi mbona siwaelewi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Asu tz, Oct 20, 2012.

 1. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  hii wizara sijui ni vp? nanukuu hii kauli yao kwamba, Majibu ya maombi kwa waliochaguliwa yanapatikana pia kwenye kanda na vituo ambako
  waombaji wote walipeleka maombi yao. mimi nipo singida kanda ambayo nilituma maombi yng ni kibaha ina maana nitoke singida hadi kibaha? kama kuna mtu anaweza kunisaidia majina ya zonal ya kibaha nitashukuru. asubuh njema wana jf.
   
 2. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Matokeo yote yapo hapa.
  www.moh.go.tz/index.php?option=com_jdownloads&view=viewcategory&catid=34
   
 3. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  LINK yako haifunguki mkuu.
   
 4. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijui kueka link, jaribu kuicopy na ipaste kwenye web adress
   
 5. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  kwenye website ya wizara nimeangalia tangazo lao linasema nikaangalie kwenye zonal ambayo nilituma maomb yangu.
   
 6. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 7. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  fungua link iyo mpya
   
 8. Ben40

  Ben40 JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanda ya kati wamebandika milembe.
   
Loading...
Similar Threads - wizara afya vipi Forum Date
Waraka wa Wizara ya Afya kuhusu kozi ya medical attendat Jukwaa la Elimu (Education Forum) Jun 18, 2015
Wizara ya AFYA kimya sana mbona? Jukwaa la Elimu (Education Forum) Apr 2, 2015
Wizara ya afya mbona kimya? Jukwaa la Elimu (Education Forum) Apr 1, 2015
Kutuma maombi Wizara ya Afya kwa waliomaliza kabla ya 2012 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Mar 9, 2015
Jamani wizara ya afya vipi mbona kimya selection Jukwaa la Elimu (Education Forum) Sep 25, 2013

Share This Page