Wizara ya afya na ustawi wa jamii!

Wana jf kuna dogo anauliza kwamba yeye kapata phy-c,bios-c,chem-c,math-d,na english-f, je anaweza kupata diploma?
 
Wana jf kuna dogo anauliza kwamba yeye kapata phy-c,bios-c,chem-c,math-d,na english-f, je anaweza kupata diploma?

Tamaa ipo sana mbona, masomo yanayomatter zaid ni bio, chen na phy, ayo math na eng yanaongeza advantage tu.
Lkn omba Mungu mana wizara haitabiriki, lkn mm bio nina D, yalobak yote C, nasubir majibu
 
Nafkir ni matatizo ya kiengereza kidogo. Inaposemwa kwamba mtu kawa certified maana yake kapata certificate, kwaiyo certified copy ni copy tu ya cheti.
Hata mimi sikuona sehem iliyoandikwa lzm viwe na muhur, lkn aloniletea form alinambia nipeleke mahakaman kwa muhur

kwa hyo kama vyeti havijagongwa muhuri huwez chaguliwa?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom