Wizara ya afya na ustawi wa jamii!

Bongoclever

Senior Member
Jul 30, 2012
105
11
Waungwana hebu nifumbueni kwa hili;
nimeckia tetec ya kwamba kwa wale waloomba course wizara ya afya mwezi april kama vyeti vyako havikupigwa muhuri na mwanasheria wa serikali hauwezi kuchaguliwa hata kama una vigezo vyote!
Inaukweli hii ndani yake?
Tueleweshane kwa hili jamani.
 
hamna kitu kama hicho mkuu.kwani 4m zao za maombi hazikuitaji certified copy.
 
form yao iliandikwa "with certified copy of A or O level" then wakasema lazima viwe na muhuri wa mahakama. Je maana ya certified copy ndio muhuri wa mahakama wakati tayari viko certified na baraza. Au me sijui maana ya certified. Msaada jamani
 
Waungwana hebu nifumbueni kwa hili;
nimeckia tetec ya kwamba kwa wale waloomba course wizara ya afya mwezi april kama vyeti vyako havikupigwa muhuri na mwanasheria wa serikali hauwezi kuchaguliwa hata kama una vigezo vyote!
Inaukweli hii ndani yake?
Tueleweshane kwa hili jamani.

Hata mie nilipoenda kuchukua form chuo kimoja cha serikali kwaajili ya kutuma wizarani waliniambia hivo hvo wakadai eti siku hzi w2 wanatengeneza hvo vyeti xo ni lazima mwanasheria wa serikali avithibitishe thn ndo utume.pia wanadai last year wanafunz weng walitimuliwa kwa sababu hyo xo ni gharama coz walishaanza.
 
kwa hyo kwa wale ambao havijagongwa muhuri vyeti vyao hawachaguliwi hata kama wamekidhi vigezo vyote?
 
form yao iliandikwa "with certified copy of A or O level" then wakasema lazima viwe na muhuri wa mahakama. Je maana ya certified copy ndio muhuri wa mahakama wakati tayari viko certified na baraza. Au me sijui maana ya certified. Msaada jamani

tambua walikua wanapokea copy za vyeti,na copy ya cheti hajawa certicified na baraza,so ilikua lazima ile copy iwe certicified as the legal copy of the original certificate.,but im not sure if they 'll not be selected
 
achen stress wakuu...kwa maelezo yao ya kina kuhusu point hiyo.kwa lugha yetu haya...ii) Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, itawasilishwa pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable). (iii)Malipo yaingizwe kwenye akaunti ,‘Health Service fund’, Account No. 0111-030-12059 NBC – CORPORATE BRANCH. (iv) Maombi yatakayopokelewa na kufanyiwa kazi, ni yale yatakayoambatanishwa na risiti ya malipo ya Benki, inayoonyesha kiwango cha malipo kilichotajwa hapo juu. (v) Maombi ambayo hayataambatanishwa na hati ya malipo ya Benki(Pay in Slip) na kivuli cha cheti cha Baraza la Mitihani cha kuhitimu Elimu ya Sekondari, hayatafanyiwa kazi. (vi) Maombi yote yatapokelewa kupititia kanda za mafunzo baada ya malipo kufanyika kwenye akaunti iliyotajwa hapo juu.
 
form yao iliandikwa "with certified copy of A or O level" then wakasema lazima viwe na muhuri wa mahakama. Je maana ya certified copy ndio muhuri wa mahakama wakati tayari viko certified na baraza. Au me sijui maana ya certified. Msaada jamani

Nafkir ni matatizo ya kiengereza kidogo. Inaposemwa kwamba mtu kawa certified maana yake kapata certificate, kwaiyo certified copy ni copy tu ya cheti.
Hata mimi sikuona sehem iliyoandikwa lzm viwe na muhur, lkn aloniletea form alinambia nipeleke mahakaman kwa muhur
 
Wana jf kuna dogo anauliza kwamba yeye kapata phy-c,bios-c,chem-c,math-d,na english-f, je anaweza kupata diploma?
 
Back
Top Bottom